Kila anayenitongoza namzidi umri

Kila anayenitongoza namzidi umri

Tatizolako hutaki kuolewa unataka kutongozwa wenyeumli mkubwa wanataka kuoa shauli yako hangaika kutongozwa utakutana na wavaa katakei maanayake wako tayalitayali kuvua suluali
 
haya makitu ukitumia akili saaaaaaaaaaaaaaaana lazima udate!
 
Dada alianza kumtafuta Justin Bisangwa kumbe jamaa keshaoa anyway nina kaka ana miaka 37 ana mtoto 1 na yy anatafuta mtu mzima mwenzie niPM namba yako niwaunganishe coz naona kweli una shida maana hii ni mara ya pili unaandika hapa MMU kutafuta mme.
 
ni siku nyigi sana sijaingia humu kuchangia ila leo naomba niseme haya mapema hii,

kwanza wanajukwaa wengi tunakosa hekima sana, nashangaa kuon awatu wana mzodoa mdada wa watu ili hali kasema analokutana nalo. Jiulize hivi wewe unayemkejeli je ndugu zao wote wameolewa?? je wameolewa na wanaume wa kweli?? na je wanao nao wameolew?? je wameolewa na wanaume wa kweli?? mkeo uliyemuoa umemuoa kwasababu u mwanaume wa kweli ana just kwasababu mkeo ama gf wako hakuwa na option nyingine?? nashangaa sana kuona wengine mnasema vby tena ni wanaume ilihali hawajijui kama ni wao wana semwa hapa ama la. Yumkini wewe unasema kadoda ndiye uliye mtongoza na akagundua kwamba umri wako ni mdogo kuliko wake.acheni kejeli na heshimuni hisia za wenzenu, pia pendeni kufanyika msaada kwa mwingine kuliko kufanyika husuda.

kwako dada mzuri mtoa mada, as i can tell, kwa umri wako pia wapo wanaume ambao watakufaa zaid kuliko hawa under age unao kumbana nao. sitaki kuamini kwamba wanaume wote above 35 ni married na sitaki kuamini kwamba wote above 35 hakuna ambaye hatafuti mwenza. nafikiri utofauti upo kwenye mawindo tu mnayopitia, like swala hula nyasi fupi na hivyo hufanya simba awinde kwenye nyasi fupi kwani anajua chances za kukutana na swla ni kubwa.

angalia maeneo ambayo wewe unawapatia hao unaowasema je ni vyuoni, ama kazini, bar, kwenye gari, mitandaoni ama nyumba za ibada?? kisha angalia maeneo hayo wengi wa dwellers humo ni watu gani?? huenda wewe ni mtu wa kwenda bills sana sasa huko wategemea ukakutane na mtu kama Mr Rocky ama Dark City?? ama wewe ni mtu wa mitandaoni zaid wategemea huko ukutane na wanaume wepi zaid ya akina Mentor, mzabzab et al??( sorry hapa namaanisha kiumri na ni mfano tu)

hivyo tathmini hayo kwanza na sikushauri kwa umri huo umdate mwanaume ambaye ni -2yrs kwako. atakusumbua period manake ndoa sio mchezo wa matusi tu ni zaid ya hapo. na hao wa 30 ni wanaume wazuri but ni wazuri kwa wa rika lao and not kwa wale waliowazidi umri.
 
Last edited by a moderator:
Mh!!..Mkuu acha kumsaliti mama watoto, hebu muheshimu mkeo bwana.
Umeishi na nae mpaka umefikisha umri huo halafu leo unataka umsaliti aisee!!....

he...sasa DSpecial rafiki yangu ni wapi nimemsaliti, sijamheshimu...hebu nionyeshe tu au umesoma kiarabu apo juu? Halafu umri huu ndo maisha yananoga sasa...nyie wa 24yrs old bado mnaishi ile kimafundisho ya utotoni mkiwa wakubwa mnajua what you have been missing....pamoja na irrelevance ya uliyokuwa unaamini!

CC: gfsonwin, KakaKiiza, Asprin, Mtambuzi, Mentor
 
Last edited by a moderator:
halafu siku hizi sipend mwandiko wako ujue.............unaniudhi, ulikuwa na hati nzri sana ila sasa umeichakachua sijui King'asti kakuharibu ama??

lakini mwali umenione bure tu mi na shosti wangu King'asti!
kiukweli nimeongea la msing sana!
nimehis anatumia akili nying saana mpka anaona umri wa hao wakaka!
kimsingi haya makitu wakati mwingine one has to be nuts bana!
 
Last edited by a moderator:
he...sasa DSpecial rafiki yangu ni wapi nimemsaliti, sijamheshimu...hebu nionyeshe tu au umesoma kiarabu apo juu? Halafu umri huu ndo maisha yananoga sasa...nyie wa 24yrs old bado mnaishi ile kimafundisho ya utotoni mkiwa wakubwa mnajua what you have been missing....pamoja na irrelevance ya uliyokuwa unaamini!

CC: gfsonwin, KakaKiiza, Asprin, Mtambuzi, Mentor

swtlo unapata shida ya nini waache waishi kwa maigizo uhalisia wataupata wakiwa ndoani.
 
Umri ni namba 2 bibie..

Kubwa ni kupendana kuheshimiana n kuthaminiana. Mengineyo ni by the way tu. mfano wa by the ways ni kabila dini itikadi kanda nk.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mapenzi hayana umri dada, pia inategemea umemzidi vp....kuna miaka fulani ya kutia shaka but sio yote!! ma umbo nayo huwa yanachangia pia katika mahusiano ya siku hiz!!! ebu ni PM nikuulize kitu
 
Back
Top Bottom