Kila atakayeifunga Simba kusajiliwa?

Wapo majaribioni Yanga wote hao, wakifuzu Simba tunawachukua
Nasikia wana mikataba ya miezi sita tu, hahaha hawa jamaa kenge kweli, afu akili yao wanawaza kuponda simba huku timu lao lipolipo tu
 
Sio walilegea acha uongo, simba waliingia nae mkataba wa awali, baada ya kufanya tafiti wakaona hamna mchezaji pale, wakavunja ile contract ndio wakamchukua mugalu
Unajua Sarpong ilikuwa aende Simba na hata media za Rwanda zikaripoti hivyo? Simba wakalegea kidogo ili Yanga wamgombanie, na iwe platform nzuri ya Simba kumuona kama anafaa. Sasa tumeona hatufai, tunaangalia wengine kama wapo wapo
 
Bro huyo sio simba ni uto anaejifanya simba, hata usitumie nguvu kubwa kumponda, uto akili hawanaga kabsa, !!
 
πŸ˜•πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…