kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Nasikia wana mikataba ya miezi sita tu, hahaha hawa jamaa kenge kweli, afu akili yao wanawaza kuponda simba huku timu lao lipolipo tuWapo majaribioni Yanga wote hao, wakifuzu Simba tunawachukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia wana mikataba ya miezi sita tu, hahaha hawa jamaa kenge kweli, afu akili yao wanawaza kuponda simba huku timu lao lipolipo tuWapo majaribioni Yanga wote hao, wakifuzu Simba tunawachukua
Unajua Sarpong ilikuwa aende Simba na hata media za Rwanda zikaripoti hivyo? Simba wakalegea kidogo ili Yanga wamgombanie, na iwe platform nzuri ya Simba kumuona kama anafaa. Sasa tumeona hatufai, tunaangalia wengine kama wapo wapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mikiaaa hahaha
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kwani wewe umeajiriwa kuja JF kupinga pinga kila jambo linalofanywa na SIMBA, simba siyo Siasa ulizozoea kupingapinga. Hapa JF una Nyuzi kibaooooo zote Unapinga kila kinachoendelea ndani ya Simba, kama inakuuuma nenda Klabuni uongee nao siyo kila jambo kuwekwa mitandaoni. Huenda hata kadi ya Klabu hunaaa kazi ni kutunisha misuli tu.
😕😆😆😆Kwani wewe umeajiriwa kuja JF kupinga pinga kila jambo linalofanywa na SIMBA, simba siyo Siasa ulizozoea kupingapinga. Hapa JF una Nyuzi kibaooooo zote Unapinga kila kinachoendelea ndani ya Simba, kama inakuuuma nenda Klabuni uongee nao siyo kila jambo kuwekwa mitandaoni. Huenda hata kadi ya Klabu hunaaa kazi ni kutunisha misuli tu.
Anaondoka huyo chikwende kwa loan to zanaco anakuja moses phiri attacking midfielder mfungaji bora ligi ya zambia ana goals 17Noma kweli !
Morrison huyu huyu ambaye kila akifunga goli Utopolo mnaweweseka na kesi uchwara ya CAS?Usajili wa mihemko kama ule wa morison,saizi wanataka kumtema wanamsingizia ugonjwa!