Kila Dakika 15 tembo 1 anauawa: Kikwete uko kimya..

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
Kwa muda mrefu sana nimeona Kagasheki na mchungaji Msigwa wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita ujangili wa Tembo unaofanywa sehemu mbalimbali za nchi wanasiasa na vigogo wengine wakihusishwa. Nimesikitishwa sana kuona mkuu wa kaya hajachukua hatua zozote stahiki kupambana na janga hili. Ikumbukwe kuwa, utalii ndo eneo pekee tunalopata fedha ya kigeni maana madini yote yana wenyewe.

Mheshimiwa rais, naomba uwaunge mkono wapambanaji hawa wa ujangili. Tafadhali ingilia kati, paza saiti yako na vitendo vifuate. kama ulivyofanya kwa wahamiaji haramu natamani niuone tena mkono wako.
 
sio rahc kukata tawi alilo kalia,alipoitwa dhaifu hawakukosea.
 
Ndani ya hizo hiizo dakika 15 watu wanafariki mahospitalini kwa sababu ya ukosefu wa dawa na vifaa!! Sasa kama ya watu tu yamemshinda, ya tembo ataweza!!
 
Kwa muda mrefu sana nimeona Kagasheki na mchungaji Msigwa wamekuwa mstari wa mbele kupiga vita ujangili wa Tembo unaofanywa sehemu mbalimbali za nchi wanasiasa na vigogo wengine wakihusishwa. Nimesikitishwa sana kuona mkuu wa kaya hajachukua hatua zozote stahiki kupambana na janga hili. Ikumbukwe kuwa, utalii ndo eneo pekee tunalopata fedha ya kigeni maana madini yote yana wenyewe.

Mheshimiwa rais, naomba uwaunge mkono wapambanaji hawa wa ujangili. Tafadhali ingilia kati, paza saiti yako na vitendo vifuate. kama ulivyofanya kwa wahamiaji haramu natamani niuone tena mkono wako.

Jamani kila kitu ------ tutamuua madaktari yeye, maji yeye, majambazi yeye, mafisadi yeye....mmmh madawa ya kulevya yeye atabaki kweli ? Sometime tufikirie kidogo na tubadilike wenyewe sisi He is not an Angel
 
kila dk 15 tembo mmoja anauliwa??hauko serious
 
Back
Top Bottom