Kila enzi Ina mwisho

Kila enzi Ina mwisho

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,052
Reaction score
2,995
Alikuwepo mungu na maraika wake watiifu akatukuzwa akasifiwa aka abudiwa lakini akaja aka asiwa

Tena na maraika mtiifu wa kuaminika kwake

Walikuwepo wababe wa dunia Wala rushwa majambazi wababe wenye misuri Kama ya ng'ombe watu makatiri wenye uwezo wa kifedha na mamlaka leo hawapo Tena

Maisha tuna pita tujifunze kuishi vizuri nawatu

Yuko wapi daudi,sauri,suremani,ezekia, Joshua,msa,farao,nk?

Wapii papii kocha,madiru system,yondo sister,Kanda bongo Mani,arusi ma bele,ruketo,nk?

Wako wapi akina sinta,Nita,nk?

Wako wapi akina nyelele,jomo Kenyatta,moy,jpm,mkapa,nkuluma,Mobutu, Mandela,casto,amin dada,obote,nk?

Wote hao ime Baki history hata Mimi na wewe kesho yetu ipo hivyo tuta kuwa stories

Tujifunze kuishi vizuri na watu ndugu zangu ili kesho habari zetu ziwe mfano mzuri kwa vizazi vijavyo

Niwa takie jioni njema ya jumapili njema
1717345316727.jpg
 
Ukiwa Tanzania meseji za kukumbusha binadamu wana mwisho hivyo tuishi vizuri na kumtaja Mungu ni nyingi kweli kweli. Unaweza kudhani hawa watu ni watakatifu wa hali ya juu na wana busara. Subiri uone mitaani kulivyo na unyama na vitendo vya kikatili. Majuu watu haya mambo hakuna ila watu wana utu kuliko sisi.
 
sUkiwa Tanzania meseji za kukumbusha binadamu wana mwisho hivyo tuishi vizuri na kumtaja Mungu ni nyingi kweli kweli. Unaweza kudhani hawa watu ni watakatifu wa hali ya juu na wana busara. Subiri uone mitaani kulivyo na unyama na vitendo vya kikatili. Majuu watu haya mambo hakuna ila watu wana utu kuliko sisi.
Sio kweli
 
Huyu ndo wale wa LIKE PICHA HII ILI MUNGU AKUINUE....waafrica wengi waoga sana...
 
KATIKA FUMBO AMBALO MOLA MLEZI HAKIKA AMEPATA KUMFUMBA MWANA WA ADAMU BASI NI KIFO, NA HAKIKA KILA KIUMBE CHENYE NAFSI HAI KITAONJA UMAUTI,

HIVYO USITAZAME NANI ALIKUWEPO DUNIANI NA MAARUFU AU SIO MAARUFU LAKINI LAZIMA ATAONJA UMAUTI, USIISHI MAISHA YA KUMWANGALIA MWENGINE ISHI MAISHA YAKO KAMA WAO WALIVYO ISHI MAISHA YAO, KIFO HUWEZI KUKWEPA ILI MRADI UWE TAYARI KUPOKEA NA KUONJA UMAUTI KIFUPI USIOGOPE KUFA KWA SABABU NI LAZIMA HUNA HAJA YA KUOGOPA TENA.

DUNIANI NI VYEMA KUISHI VYEMA NA WALIWENGU HILO USISAHAU KUZINGATIA

# ROCKERFELLER
 
Back
Top Bottom