Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi

Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza

Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh

Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili

Nawakilisha

Pdidytz
 
kuna waty wanamapito nimekuta grp moja ya.maombi usiku huu whatsup
 
Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi

Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza

Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh

Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili

Nawakilisha

Pdidytz
Imani bila matendo ni bure mpwa
 
Huenda ni ugonjwa wa wasiwasi. Kuna ndugu yangu alikuwa anaonda helikopta inamfatilia.

Tukampeleka Muhimbili. Wakasema ni ugonjwa wa wasiwasi na dawa wanazo.

So nenda moja kwa moja wodi ya wagonjwa wa wasiwasi.
 
Kwa waliowahi kukutana na hii kemeeni hapohapoo rohoya umasikin inakujiaaa

M kipindi flan nilikuwa mkoan moro nalima nakaribia kuvuna nkanza ota ndoto kama hizi naishia kuwambia watyu bar naona tumeanza kutestiana hata mavuno bado jaman

Nkauza mzigooo nkatyuma hela kadhaa dar hizi zilizobakia siku narudi hoteli aka lodge wakanityt sehemu kama naota wakanza na mil plus....sinahamu
.ikiota hizi amka kemeeaa hapohapo

Wanacheka nkajua wenzangu weeeh naijua hii

Mwenzangu nae wiki 2 aknza ota haya madubwasha anashtuuka huna hamuya kulala tena aisee akacheka nilipomshauri

Tukaenda sehemu flani kama wanne baada ya tukio langu
nawaendesha tukafika jamaa akalipa matumizi kadhaaaaa

Kurudi anagoma acha ujinga unarudijemdahuu kamademu aisee nikikumbuka yalionikuta nkawapa funguo huyooo Lodge

Masaa ma3 napigiwa simu na jamaa aliefanikiwa kukimbia kaka nduguyo anatoka damu uku wametutyt sehemu tuliachagari pale tukahamia kwingjine kwa mguuuu

Nkajibu naijuaaaa hioooo polensana

Sijarudi tena moro
 
Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi

Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza

Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh

Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili

Nawakilisha

Pdidytz
Kuota unakimbizwa ni taarifa ya kiroho kuwa hali yako ya kiroho iko chini sana

Biblia inasema tutakimbiza pepo hatutakimbizwa
 
Mshangazi huyu mke wa mtu kabisa jamaa anafanya kumpiga mabegani kola siku kama homework

Unaweza kuwa mke wa mtu na ukalala peke yako. Japo kitandani mpo wawili. Kama show zitakuwa za kutosha saa ngapi mie ntalala na kuota ujinga huo. TAFUTA MTU WA KULALA NAYE
 
Kuota unakimbizwa ni taarifa ya kiroho kuwa hali yako ya kiroho iko chini sana

Biblia inasema tutakimbiza pepo hatutakimbizwa
Unamsaidiaje mkuu
M yaliwahi kunikuta nikashauriwa kusali usiku saatisa kweli yalikkmbia

Huyu naona opp nashangaa anasema anamkaaga saanane kwa alarm kusali ajabu yakimkuta haya saa saba nanusu nane kasoro

Atakuwa ana mapungufu mengine nahisi nawaza nimjuze awake alarm saa sita na nusu asali vipi yakirudisha nyuma mda nayo yakamjia sita kamili

Anawezanihisi ovyo
 
Unaweza kuwa mke wa mtu na ukalala peke yako. Japo kitandani mpo wawili. Kama show zitakuwa za kutosha saa ngapi mie ntalala na kuota ujinga huo. TAFUTA MTU WA KULALA NAYE
Amsugue vizuri sio
Shangazi nimekuelewa...
 
Kwa waliowahi kukutana na hii kemeeni hapohapoo rohoya umasikin inakujiaaa

M kipindi flan nilikuwa mkoan moro nalima nakaribia kuvuna nkanza ota ndoto kama hizi naishia kuwambia watyu bar naona tumeanza kutestiana hata mavuno bado jaman

Nkauza mzigooo nkatyuma hela kadhaa dar hizi zilizobakia siku narudi hoteli aka lodge wakanityt sehemu kama naota wakanza na mil plus....sinahamu
.ikiota hizi amka kemeeaa hapohapo

Wanacheka nkajua wenzangu weeeh naijua hii

Mwenzangu nae wiki 2 aknza ota haya madubwasha anashtuuka huna hamuya kulala tena aisee akacheka nilipomshauri

Tukaenda sehemu flani kama wanne baada ya tukio langu
nawaendesha tukafika jamaa akalipa matumizi kadhaaaaa

Kurudi anagoma acha ujinga unarudijemdahuu kamademu aisee nikikumbuka yalionikuta nkawapa funguo huyooo Lodge

Masaa ma3 napigiwa simu na jamaa aliefanikiwa kukimbia kaka nduguyo anatoka damu uku wametutyt sehemu tuliachagari pale tukahamia kwingjine kwa mguuuu

Nkajibu naijuaaaa hioooo polensana

Sijarudi tena moro
duh nmesoma mara 2 sijaelewa 🤣🤣😀 au nimelewa
 
Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi

Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza

Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh

Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili

Nawakilisha

Pdidytz
iliitokea Sana na nilukuja ibiwa kweli.
 
Back
Top Bottom