Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hii ndo lugha gani? "nikatyuma"watyu"Kwa waliowahi kukutana na hii kemeeni hapohapoo rohoya umasikin inakujiaaa
M kipindi flan nilikuwa mkoan moro nalima nakaribia kuvuna nkanza ota ndoto kama hizi naishia kuwambia watyu bar naona tumeanza kutestiana hata mavuno bado jaman
Nkauza mzigooo nkatyuma hela kadhaa dar hizi zilizobakia siku narudi hoteli aka lodge wakanityt sehemu kama naota wakanza na mil plus....sinahamu
.ikiota hizi amka kemeeaa hapohapo
Wanacheka nkajua wenzangu weeeh naijua hii
Mwenzangu nae wiki 2 aknza ota haya madubwasha anashtuuka huna hamuya kulala tena aisee akacheka nilipomshauri
Tukaenda sehemu flani kama wanne baada ya tukio langu
nawaendesha tukafika jamaa akalipa matumizi kadhaaaaa
Kurudi anagoma acha ujinga unarudijemdahuu kamademu aisee nikikumbuka yalionikuta nkawapa funguo huyooo Lodge
Masaa ma3 napigiwa simu na jamaa aliefanikiwa kukimbia kaka nduguyo anatoka damu uku wametutyt sehemu tuliachagari pale tukahamia kwingjine kwa mguuuu
Nkajibu naijuaaaa hioooo polensana
Sijarudi tena moro
Badili jina hilo lina mapepo ya kisulisuli...