Imani bila matendo ni bure mpwaNaitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi
Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza
Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh
Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili
Nawakilisha
Pdidytz
Huenda ni ugonjwa wa wasiwasi. Kuna ndugu yangu alikuwa anaonda helikopta inamfatilia.Naitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi
Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza
Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh
Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili
Nawakilisha
Pdidytz
Kuota unakimbizwa ni taarifa ya kiroho kuwa hali yako ya kiroho iko chini sanaNaitwa sherry
Na umri wa miaka 35
Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi
Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza
Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku.....
Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh
Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na hili
Nawakilisha
Pdidytz
Mshangazi huyu mke wa mtu kabisa jamaa anafanya kumpiga mabegani kola siku kama homework
Majaribu ni mtaji wa imani mpwaMpwaa m na iman sana yalishantokea moro mpwa haya sinagahamu nayo
Unamsaidiaje mkuuKuota unakimbizwa ni taarifa ya kiroho kuwa hali yako ya kiroho iko chini sana
Biblia inasema tutakimbiza pepo hatutakimbizwa
duh nmesoma mara 2 sijaelewa 🤣🤣😀 au nimelewaKwa waliowahi kukutana na hii kemeeni hapohapoo rohoya umasikin inakujiaaa
M kipindi flan nilikuwa mkoan moro nalima nakaribia kuvuna nkanza ota ndoto kama hizi naishia kuwambia watyu bar naona tumeanza kutestiana hata mavuno bado jaman
Nkauza mzigooo nkatyuma hela kadhaa dar hizi zilizobakia siku narudi hoteli aka lodge wakanityt sehemu kama naota wakanza na mil plus....sinahamu
.ikiota hizi amka kemeeaa hapohapo
Wanacheka nkajua wenzangu weeeh naijua hii
Mwenzangu nae wiki 2 aknza ota haya madubwasha anashtuuka huna hamuya kulala tena aisee akacheka nilipomshauri
Tukaenda sehemu flani kama wanne baada ya tukio langu
nawaendesha tukafika jamaa akalipa matumizi kadhaaaaa
Kurudi anagoma acha ujinga unarudijemdahuu kamademu aisee nikikumbuka yalionikuta nkawapa funguo huyooo Lodge
Masaa ma3 napigiwa simu na jamaa aliefanikiwa kukimbia kaka nduguyo anatoka damu uku wametutyt sehemu tuliachagari pale tukahamia kwingjine kwa mguuuu
Nkajibu naijuaaaa hioooo polensana
Sijarudi tena moro
iliitokea Sana na nilukuja ibiwa kweli.Naitwa sherry