yaani unataka jamaa apende kwa kutumia hisia badala ya uhalisia ili ikitokea amepigwa kitu kizito iwe ndio kwisha habari?. Women mnakawaida ya kuteteana yaani kamfumo flani hivi defensive mechanism!Basi ishakushinda hiyo...hutoboi...,kuishi kwa kuviziana means hamwaminiani...hamwaminiani means hamtodumu milele
Kuna wanaodumu milele kumbe.Basi ishakushinda hiyo...hutoboi...,kuishi kwa kuviziana means hamwaminiani...hamwaminiani means hamtodumu milele
Yeah mkuuKuna wanaodumu milele kumbe.
Siyo upendo huoNampenda Ila simuamini.
Sawa,jikate tu bei ya mkaa imepanda kutokana na mvuaNampenda Ila simuamini.
Hiki kiswahili pia??? Mbona kama kisomali.wahka
Kuishi na mtu usiyemuamini bora mkaachana tuu. Ndoa haipo kama hamuaminiani.
SawaYeah mkuu
Hakuna upendo hapoNampenda Ila simuamini.
Kwanini uendelee kuishi nae kama anamambo mengi ya siri??Tatizo ni hao tunao waamini unaona kbsa ana mambo mengi ya siri sasa uaminifu utoke wapi???