Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Sina Imani Sana, mke niliemuoa,
Na kila jambo ninalofanya nafanya kwa Kiasi.
More Expection, inaweza nifikisha pabaya, kweli nampenda mke wangu Ila nimejipa kiasi ili lolote likitokea niwe salama.
Kuoa/ kuolewa ni kitendawili chenye fumbo kubwa sana.
Naishi na mke wangu kwa Tahadhali ili lolote likitokea niweze kulikabiri, kihisia na kiuchumi.
Kujilinda kihisia na kiuchumi nisipoteze.