G Garincha II Senior Member Joined Jul 21, 2023 Posts 185 Reaction score 213 Jul 2, 2024 #101 Wewe ni kichaa nini mbona unaropoka hovyo. Kwa nini wao wasiende huko porini? Accumen Mo said: Kwani wamefunga nyumbani kwako? kajenge porini Click to expand... J
Wewe ni kichaa nini mbona unaropoka hovyo. Kwa nini wao wasiende huko porini? Accumen Mo said: Kwani wamefunga nyumbani kwako? kajenge porini Click to expand... J
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Jul 2, 2024 #102 Garincha II said: Wewe ni kichaa nini mbona unaropoka hovyo. Kwa nini wao wasiende huko porini? J Click to expand... Wanapiga kweny eneo lako ? Nyumba yenyewe umepanga unatupigia kelele.
Garincha II said: Wewe ni kichaa nini mbona unaropoka hovyo. Kwa nini wao wasiende huko porini? J Click to expand... Wanapiga kweny eneo lako ? Nyumba yenyewe umepanga unatupigia kelele.
under timer JF-Expert Member Joined Dec 25, 2021 Posts 389 Reaction score 595 Jul 2, 2024 #103 baadhi ya makanisa ya kirokole hayana tofauti na kumbi za mipira(vibanda umiza) tena waumini wake wengi ni wale wanaotaka shortcut life
baadhi ya makanisa ya kirokole hayana tofauti na kumbi za mipira(vibanda umiza) tena waumini wake wengi ni wale wanaotaka shortcut life
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Jul 2, 2024 #104 Wanaamini kuwa Mungu ni kiziwi hasikii mpaka waongeze sauti