Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #81
Au sio😂😂 kufa kupiga tu mkuu hata una siku3 una tag out chap tuIla bado sana Mungu akupe miaka mingi zaidi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio😂😂 kufa kupiga tu mkuu hata una siku3 una tag out chap tuIla bado sana Mungu akupe miaka mingi zaidi mkuu
Acha ushambaBwana ni mwema!
Sina shida na kumkera mtu yeyote
Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake.
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc.
Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada.
Kwa sababu zangu binafsi.
Kero yangu ni hizi kelele za makanisa ya kilokole zinazopigwa Hadi usiku wa manane Tena Kwa sauti ya juu ya masipika na vipqza sauti.Unajiuliza Kwa hiyo huyu Mungu Ili aabudiwe lazima kuwe na kelele namna Ile kweli?
Nimefatilia Kwa undani zaidi nikagundua kuwa Wala sio kwamba Mungu anahitaji aabudiwe Kwa makelele namna Ile ila KUNA MASHINDANO NDANI YAKE.
Hapa Kuna kanisa linalo itwa T.A.G
Jingine ni kanisa la MUNGU WA BENDERA.
Lile la tatu sijalifahamu nahisi ni la mtu binafisi tu anajulikana Kwa jina Clement
Aisee ikifika saa3 usiku Kila kanisa linaachia mziki Wanaita wa kusifu kamwe hata mtoto mdogo inakuwa ni kazi sana kulala
Nimekuwa muhanga wa siku nyingi sana kuhusu hili.
Nipo karibu na kanisa la wasabato kama mita ½km Hivi lakini hii kero sipati sana sana Wakati wa makambi Yao ndo Huwa Kuna kero kiasi chake lakini pia Hawa wasabato Huwa wanapunguza sana kelele za vyombo vyao vya mziki.
Sijui Kwa ndg zetu walokole ninyi Mungu wenu nitofauti na Mungu wa wasabato na waroma?
Naombeni namna ya kufanya Ili niepukane na haya makelele. Ahsantee
AiseeeeeWe kweli maiti kwahiyo mtu anayebet alipi Kodi kweli jomo kenyatta hakukosea kukuita maiti
Wala hujakoseaKwa hiyo walokole kumwabudu Mungu wao kwako ni kelele siyo?
Utashangaa jirani yako linajengwa kanisa au msikiti. Unafikiri haya makanisa yote na misikiti ni maeneo rasmi? Wameamua tu
Mkuu unaandika as if wote ni matajiri au hatuijui hiyo mipango miji,ukisema nunua makazi only unataka wote tukajazane Masaki Upanga Posta maana hata hiyo Kariakoo yenyewe hakuna mipango miji.
Shida inaanza na serikali haiko active kushughulikia mapema haya mambo,iko hivi;mimi nanunua kiwanja 20x20 sehemu kabisa panaonekana ni kwa ajili ya kuishi watu lakini naweka ninachokiita Kanisa then naanza kero za kelele kwa wenzangu,mtaa una viongozi yupo balozi,yupo mwenyekiti wapo wajumbe wa mtaa na wote hizo kelele wanazisikia kwanini mapema wasimfate huyo nabii sijui muinjilisti wakamkumbusha sheria zinavyosema kuhusu anachokifanya?kwa sababu hizo kelele zinatembea mbali lakini wao kimyaa kama hamna kinachoendelea!
Kuna Misikiti na Makanisa huwezi kuhoji kwanini yapo sehemu fulani kwa sababu ukiitisha street map za makazi utakuta ni sehemu zilishatengwa kiasi wakazi ndiyo wageni lakini Makanisa mengi ya mabati huyakuti kwenye ramani za mitaa na ndiyo yanayoleta purukushani mitaani.
Ungekuwa na ujanja huo usingelileta hapa. Wenye pesa hawana keleleMkuu naona una washwa muwasho ambao sijawahi ona katika Dunia hii.
Wacha nikuache tu maana hujui lolote kuhusu Mimi na huenda house allowance ninayolipwq Mimi Kila mwezi wewe ndo basic salary Yako au ndo full malipo Yako yote.
Naomba mk
Mkuu kipindi naanza ujenzi Hadi na hamia kwangu kulikuwa na kanisa la wasabato tu Wala sikuwa na shida hii.
Walipokuja Hawa ndg Sasa halooo. Nawaza kuachia wapangaji nirudi kwenye site nyingine tu
Mkuu. Bongoyo road hapo Oysterbay kumejengwa Msikiti mbele ya nyumba zile alizogawa Magu. Unataka kusema pale ni skwata au kulikuwa na kiwanja cha msikiti? Hadi coco Beach kuna msikiti wa ghorofa unajengwa huko nako ni skwata? Nchi hii hakuna dhamana ya mipango miji chochote kinaweza kujengwa popote.Yes kwa "SKWATA" lolote linatokea ila Surveyed Plots huwezi kukuta hayo mambo.
Kwani wamefunga nyumbani kwako? kajenge poriniUna j
Waafrika hamjastaarabika. Unafunga spika kubw saa sita usiku halafu unaona Sawa. Wewe noise pollution hujawahi sikia?
Wenye pesa akina nani? Wewe huna?Ungekuwa na ujanja huo usingelileta hapa. Wenye pesa hawana kelele
Hii ni nchi ya kiquma sana. Uhuru wa kuabudu huoBwana ni mwema!
Sina shida na kumkera mtu yeyote
Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake.
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc.
Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada.
Kwa sababu zangu binafsi.
Kero yangu ni hizi kelele za makanisa ya kilokole zinazopigwa Hadi usiku wa manane Tena Kwa sauti ya juu ya masipika na vipqza sauti.Unajiuliza Kwa hiyo huyu Mungu Ili aabudiwe lazima kuwe na kelele namna Ile kweli?
Nimefatilia Kwa undani zaidi nikagundua kuwa Wala sio kwamba Mungu anahitaji aabudiwe Kwa makelele namna Ile ila KUNA MASHINDANO NDANI YAKE.
Hapa Kuna kanisa linalo itwa T.A.G
Jingine ni kanisa la MUNGU WA BENDERA.
Lile la tatu sijalifahamu nahisi ni la mtu binafisi tu anajulikana Kwa jina Clement
Aisee ikifika saa3 usiku Kila kanisa linaachia mziki Wanaita wa kusifu kamwe hata mtoto mdogo inakuwa ni kazi sana kulala
Nimekuwa muhanga wa siku nyingi sana kuhusu hili.
Nipo karibu na kanisa la wasabato kama mita ½km Hivi lakini hii kero sipati sana sana Wakati wa makambi Yao ndo Huwa Kuna kero kiasi chake lakini pia Hawa wasabato Huwa wanapunguza sana kelele za vyombo vyao vya mziki.
Sijui Kwa ndg zetu walokole ninyi Mungu wenu nitofauti na Mungu wa wasabato na waroma?
Naombeni namna ya kufanya Ili niepukane na haya makelele. Ahsantee
DaaahHii ni nchi ya kiquma sana. Uhuru wa kuabudu huo
Mkuu. Bongoyo road hapo Oysterbay kumejengwa Msikiti mbele ya nyumba zile alizogawa Magu. Unataka kusema pale ni skwata au kulikuwa na kiwanja cha msikiti? Hadi coco Beach kuna msikiti wa ghorofa unajengwa huko nako ni skwata? Nchi hii hakuna dhamana ya mipango miji chochote kinaweza kujengwa popote.
Wenye pesa hutenda hawapigi panda.Wenye pesa akina nani? Wewe huna?
Okay1.MAKAZI ONLY
2.MAKAZI NA BIASHARA
3.HUDUMA ZA JAMII.
Sijajua hapo unapozungumzia ni category gani.
Mikakati ya kuvuna wa teja ni mingi.Bwana ni mwema!
Sina shida na kumkera mtu yeyote
Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake.
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc.
Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada.
Kwa sababu zangu binafsi.
Kero yangu ni hizi kelele za makanisa ya kilokole zinazopigwa Hadi usiku wa manane Tena Kwa sauti ya juu ya masipika na vipqza sauti.Unajiuliza Kwa hiyo huyu Mungu Ili aabudiwe lazima kuwe na kelele namna Ile kweli?
Nimefatilia Kwa undani zaidi nikagundua kuwa Wala sio kwamba Mungu anahitaji aabudiwe Kwa makelele namna Ile ila KUNA MASHINDANO NDANI YAKE.
Hapa Kuna kanisa linalo itwa T.A.G
Jingine ni kanisa la MUNGU WA BENDERA.
Lile la tatu sijalifahamu nahisi ni la mtu binafisi tu anajulikana Kwa jina Clement
Aisee ikifika saa3 usiku Kila kanisa linaachia mziki Wanaita wa kusifu kamwe hata mtoto mdogo inakuwa ni kazi sana kulala
Nimekuwa muhanga wa siku nyingi sana kuhusu hili.
Nipo karibu na kanisa la wasabato kama mita ½km Hivi lakini hii kero sipati sana sana Wakati wa makambi Yao ndo Huwa Kuna kero kiasi chake lakini pia Hawa wasabato Huwa wanapunguza sana kelele za vyombo vyao vya mziki.
Sijui Kwa ndg zetu walokole ninyi Mungu wenu nitofauti na Mungu wa wasabato na waroma?
Naombeni namna ya kufanya Ili niepukane na haya makelele. Ahsantee
Nenda Kwa mwenyeki wa mtaa wako hata yeye atakuwa anapata hiyo keroBwana ni mwema!