Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

Kila Jumamosi ya kuamkia Jumapili huwa silali kwa sababu ya makelele ya makanisa

Kuna mwenzio juzi kaja na nyuzi ya kukerwa na adhana ya asubuhi kumbe ata huku nako pia
Hlf ukiangalia adhana ya alfajiri inakuamsha ujiandae na pirika zako
Halafu adhana ni muda mfupi sana lkn wezentu wanakesha Hadi usiku wa manane aisee
 
Mkuu unaandika as if wote ni matajiri au hatuijui hiyo mipango miji,ukisema nunua makazi only unataka wote tukajazane Masaki Upanga Posta maana hata hiyo Kariakoo yenyewe hakuna mipango miji.

Shida inaanza na serikali haiko active kushughulikia mapema haya mambo,iko hivi;mimi nanunua kiwanja 20x20 sehemu kabisa panaonekana ni kwa ajili ya kuishi watu lakini naweka ninachokiita Kanisa then naanza kero za kelele kwa wenzangu,mtaa una viongozi yupo balozi,yupo mwenyekiti wapo wajumbe wa mtaa na wote hizo kelele wanazisikia kwanini mapema wasimfate huyo nabii sijui muinjilisti wakamkumbusha sheria zinavyosema kuhusu anachokifanya?kwa sababu hizo kelele zinatembea mbali lakini wao kimyaa kama hamna kinachoendelea!

Kuna Misikiti na Makanisa huwezi kuhoji kwanini yapo sehemu fulani kwa sababu ukiitisha street map za makazi utakuta ni sehemu zilishatengwa kiasi wakazi ndiyo wageni lakini Makanisa mengi ya mabati huyakuti kwenye ramani za mitaa na ndiyo yanayoleta purukushani mitaani.
Umetiririka vyema sana mkuu

Mimi nimejenga mwaka 2016 hapa kuwa na makanisa haya isipokuwa la wasabato tu nalo lipo mbali kidogo Hawa wamekuja Hivi karibuni daah shida tupu Yani.
 
Mkuu naona una washwa muwasho ambao sijawahi ona katika Dunia hii.

Wacha nikuache tu maana hujui lolote kuhusu Mimi na huenda house allowance ninayolipwq Mimi Kila mwezi wewe ndo basic salary Yako au ndo full malipo Yako yote.

Naomba nikuache mkuu
Una j
Hauko serious na usingizi , watu wanalala kweny mkesha , watu wanalala na mbuzi hao wanatafuna usiku mzika ...Yaani kelele mtu anapiga kweny eneo lake wewe unapata tabu aiseee.
Waafrika hamjastaarabika. Unafunga spika kubw saa sita usiku halafu unaona Sawa. Wewe noise pollution hujawahi sikia?
 
Nilitaka nimjibu hv umeniwahi,mm nikiwa na usingizi mzito naweza kulala hata juu ya hayo maspika yanayopiga kelele[emoji23][emoji23] halafu kingne yeye anazipa sana attention hzo kelele!.inatakiwa uzipuuze na hutopata nazo shida,nishawahi kupanga karibu na kanisa kwa kutokujua aisee ilikuwa noma mwanzoni kama mwezi hv nilikuwa silali lkn baada ya kuzipuuzia kelele huwezi amini zilikuwa hazinikeri!
Jua yakuwa hatufanani mkuu. Vilevile tuna Watoto wanahitaji utulivu sana Wakati wa usiku. Tunateseka sana basi tu.
 
Pia analala ana faida gani nchini. Mtu mwenyewe haingizi chochote nchini zaidi ya kushindia kubet tu alafu asumbue watu. Ningekuwa nasali hilo kanisa, tungekuwa tunakuja hadi kwenye hako kachumba kake na kuweka sauti za vyombo juu na kuanza kuimba na kusali huko.

Mtu mwenyewe analala kwenye kachumba kampja kama kuku alafu unasumbua humu JF.
Bila shaka mtoa mada anaishi uswazi sana ndio makanisa yanakopatikana mtoa mada anakaza fuvu kujikuta ana akili sana hataki neema ya Mungu imfikie
 
Back
Top Bottom