Kama kila anae dondosha DNA yake akibeba mzigo wake hatukua ná matatizo kama haya.Ni kweli na majuto huja baadae ila sio lazima itokee hivyo
Unaweza pia kumuoa huyo mwenye mtoto na baadae akawa mwiba, akawa anamwona mwanae (uliyemkuta naye) ni bora kuliko watoto uliozaa nao, na akawa anamjali mwanae na kuwanyanyasa watoto wako ilihali aliyezaa Nate mwanzoni hata hajui alipo
Maisha hayana formula na hayako static
Muhimu kuliko yote ni kumwomba Mungu akupe Mke / Mume sahihi.
Correct, na kama pia kila anayepokea Others DNA anakuwa carefully kujua anapokea kwa Mtu wa namna gani inakuwa vizuri zaidi kuepusha matatizo.Kama kila anae dondosha DNA yake akibeba mzigo wake hatukua ná matatizo kama haya.
Tatizo Mwanamke anadodoshewa DNA nyingi kwa pamoja Sasa mtu anakosa uhakika kuwa ile ilyotoboa na kumleta kiumbe ni yake au ya mwingne??Kama kila anae dondosha DNA yake akibeba mzigo wake hatukua ná matatizo kama haya.
Wanaamini waume zao ndio watakaotangulia kufa.Wanawake wanapenda huu msemo " baba naniiiii: ukifa tutaishije/utatuachia nini!?"
Kwahio kwamba kumtosa single maza ndio kumuacha mke mwema? 😂😂😂Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa hakua tajiri.
Alikua kwenye mahusioani na binti mmoja mwakiriwa katika ofisi ya serikali. Binti alipomfahamisha Kijiko habari za uja uzito, Kijiko alimfahamisha kuwa atakua tayari kulea mtoto lakini hayuko tayari kuishi kuoa. Yule binti alimpenda sana Kijiko lakini ilimbidi akubali matokeo.
Kijiko alikutana na binti mwingine, walianza mapenzi, sababu ya Kijiko kutomuoa huyu alikuja kugundua alikua na mtoto wa miaka minne, Kizito alisema haoi mtumba.
Kijiko alimpata binti amemaliza form six, binti alikua mrembo sana, huyu dada aliolewa harusi kubwa na Kijiko. Baada ya miaka mitano ya ndoa bila ya mtoto waliamua kumuachia Mungu maisha ya ndoa yaendelee.
Kijiko aligundulika ana maradhi ya saratani. Aliugua na tiba ilimaliza pesa zake za akiba. Safari za kwenda India kwenye matibabu. Ikifika wakati ilibidi wauze nyumba ya mwisho ili wagharamie safari. Mke wa Kijiko aligoma kabisa, alimwambia Kijiko live “ukimfahamisha utaniacha na nini”?
Mama wa mtoto wa kwanza wa Kijiko aligharamia safari baada ya kuuza alivyonavyo kumtibu baba wa mtoto wake. Kijiko alitamka kabla ya kufariki, alijuta kumuacha mke mwema kwa sababu za uja a.
Kila kitu katika maisha kinakutokea kwa sababu.
We nae 😅😅Kwahio kwamba kumtosa single maza ndio kumuacha mke mwema? 😂😂😂
Nani anakuficha sikuhizi, adimu sana au ndio mtoto wa mtu kashakupenda😅We nae 😅😅
Nani anakuficha sikuhizi, adimu sana au ndio mtoto wa mtu kashakupenda😅
Hahahahah yani hadi nisahau wazazi kweli? 😂😂😂 Waone huruma wakwe zako basi.