Kila kinachotokea katika maisha yako kina sababu ya kutokea

Kila kinachotokea katika maisha yako kina sababu ya kutokea

Siju8 n kwa nn ila n trend kubwa sana ya kina dada inabeba mimba siku hizi wakati hali za maisha kwetu ss wanaume haziruhusu hata.

Kina dada waweke akilini mm n student wa chuo kama ww na bado unabeba mimba yangu, hio sex n kwa burudani msichukulie n lazma kuzaa na mtu fulani.

Turudi kwa kijiko
Kijiko kweli aliacha chombo chema sema tusimlaumu sana labda alikosa mwongozo wa kujua ubora wa huyo dada. Pia huyo dada kulipia matibabu sio maana kwamba n mke bora inawezekana aliyekuwa mke kwake ndo sahihi na alisema vyema.
 
Back
Top Bottom