WeweHakuna jipya chini ya jua
Yeap ndio ivo
Mimi hapa mkuuWewe
Hii ni sehemu ya kuangalia TV kwa familia. Mpira, Cinema au harusi Sikuhizi wanaweka kwenye USB. Ukiweza unaweka sitting room mbili au tatu. Kama ni mfanya biashra kuna sitting room ya kuongea na wageni wako kikazi tu.Kwa nyumba na miundo ya nyumba za kiswahili hazipendezi kabisa tizama ukubwa wa sebule na aina ya muundo makochi utakayoweka.....nikajisemea mshamba mie
Hiyo sitting room ina makosa ya kiufundi au ya kimpangilioEmbu niambie hiyo ramani ya hiyo nyumba naweza kupata
Yah ni kweli kabisa huwezi kuweka njia katikati ya sebule au wengine unakuta njia/mlango uko nyuma ya makochi. Ni vitu vidogo vidogo ila wengi hua hawazingatiiHiyo sitting room ina makosa ya kiufundi au ya kimpangilio
Kimsingi sio sawa TV ikae mahala kwenye njia ina maana hapo kutakuwa na kusumbua watu/wageni pale mtu anapopita na kuzuia TV.
sky kumbe upo? sijakuona muda mtefu kule jukwaa pendwa nilijua umemfata roma mkatoliki americaView attachment 2802191
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.
Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.
Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.
Ukiwa na ukuta mweupe blue halogen lights zinaleta urembo uliotulia sebuleni wakati wa usiku.
Pichani ameamua kuweka magnolia colour and lights.
Nyumba ikiwa nadhifu utapenda kuwa nyumbani muda wote.