Yeah ni kweli!
Japo haiitwi kubadili inaitwa Kunegotiate!
Yaani kwakuwa kila kitu ulishakipanga Unachofanya ni Negotiation ya baadhi ya mambo in exchange of something..!
Kwa mfano:- kama maisha yakizidi kuwa magumu sana na ukitaka kuyapunguza makali yake unaweza kunegotiate kwa Kutoa misaada na kuthamini Sana yatima ba wasiojiweza na kutoa maisha yako kwa ajili ya kusaidia watu..
Kwahyo yatapungua makali..
Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi
Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni
Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.