Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hebu nieleweshe how to gain it back mkubwa.Sasa umuadithia Mtu asiyekuwa na maarifa hayo atakuambia umerogwa au umetupiwa Jini 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nieleweshe how to gain it back mkubwa.Sasa umuadithia Mtu asiyekuwa na maarifa hayo atakuambia umerogwa au umetupiwa Jini 🤣🤣
Kumwelewesha mtu ambae ashaaminishwa toka udogo kuwa kuna kiumbe kinaitwa Mungu kinampangia kila kitu itakua ngumu sana asipochukua hatua kuutafuta ukwel ndani yake mwenyewe.Kwa sasa huwezi kujua kwasababu upo kwenye Amnesia
Ukimsikiliza vizuri Waziri Mkuu wa Israel Mr. Netanyahu na hiki ulichoandika vinafanana. What you sense and believe in it,act on it and the results of it defines how you are and nothing more!Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Wewe ndo umerahisisha post ya mleta mada kwa maneno machache mnoKuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376
Aaahaaaa" Hata anayeamini kuwa kila kitu kimepangwa, huangalia kushoto na kulia anapotaka kuvuka barabara" by Steve Howking.
Powerful.Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Yule dogo aliyekufa kweny ajali ya shule ya Kemos jana,je alipanga yeye?Mi nachojua destiny ya mtu hutengeneza mwenyewe
Shida apo ni utambuzi .Yule dogo aliyekufa kweny ajali ya shule ya Kemos jana,je alipanga yeye?
Dogo alikuwa anarudi na wenzie kula pasaka hajui chochote.
Kufanya mazoezi, Ulaji mzuri usioAthiri mwili ,Meditatin' angalau Dakika 40 kila siku..Hebu nieleweshe how to gain it back mkubwa.
Hapana. Kamsome ‘Neville Goddard’ , , ‘Power of Imagination’. Life is highly fluid, unaiumba dunia yako kwa ‘Consiousness’ yako, ambaye ndiye Mungu ndani yako, hakuna Mungu nje ya wewe mwenyewe.
===========================
View: https://youtu.be/bKS_QIPet-k?si=oeS1tMWjDwJ1l5aK
Jina la kitabu?Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Check audio book youtube. [Neville Goddard - Imagination]. Lakini Credit zote kwa Abdullah.Jina la kitabu?
Ulitaka ushirikishwe vipi?Mimi nimepangaje wakati nimezaliwa tu bila kushirikishwa?
Mkuu naona ushavurugwa sasaUnaweza kufanya KILAKITU kwa usahihi/ufasaha, ukakaza kwa asilimia zote 100, ukafata sheria zote, ukakwepa makosa yote na bado ukafeli kama kawaida. Haimaanishi una udhaifu, lkn maisha ndivyo yalivyo... Kila kitu kilishapangwa!
Hivi unamfuatilia Dr. Ellie D Waminian?Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.