Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhUkiona haukumbuki jua bado haujajitambua wewe ni nani.
Mmmhh na sio qadar ?Hii inaitwa dejavu yaani unayoyapitia yalishaandikwa na huwezi yabadilisha.
Kuna wakati yanaweza kukutokea kama ndoto hivi. Kidini tunaiita ilham.
Ukiamini juu ya hili maisha hayatakupa stress sana.
Utapambana ukikosa utasema si risk yangu.
Sasa wale wazee wa kufosi ndio wataenda mpaka kwa sangoma trying to fix it. Itawork kwa muda tu lakini kwakua hukuandikiwa hivyo itarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Kwamba wewe unajua kesho yako ikoje acha uongoKuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376
Duh..Kuna kitu umesahau kuwa wewe ndo umepanga kila kitu..
Mpka hatima yako..Kabla hujazaliwa
View attachment 2943376
Swala la mimi kujitambua ni nani linawezaje kuingia kwenye huu mjadala?Ukiona haukumbuki jua bado haujajitambua wewe ni nani.
Hapana. Kamsome ‘Neville Goddard’ , , ‘Power of Imagination’. Life is highly fluid, unaiumba dunia yako kwa ‘Consiousness’ yako, ambaye ndiye Mungu ndani yako, hakuna Mungu nje ya wewe mwenyewe.
===========================
View: https://youtu.be/bKS_QIPet-k?si=oeS1tMWjDwJ1l5aK
Doctor hapa penyewe umetulisha matango pori. Inawezekana vipi upange hayo yote wakati unakua hauna ufahamu wowote?Wewe ndo ulipanga uzaliwe wapi, Uzaliwe na nani na uzaliwe sehemu gani, Wewe ndo uliamua haya mapito.unayopitia."Path life" uyapitia ili kufika "Destiny" uliyoamua..
Sasa baada ya kupanga hivyo Umekuja duniani ili upate funzo na Pia ujue kwanini ulichagua maisha hayo na kama utapata uwezo wa kujua hayo uweze kupunguza au kunegotiate Uchungu..
Kumbuka tu unapozaliwa mpaka kupika miaka miwili au Mitatu huwa unajua kabisa kuhusu Mambo hayo.. maana unakuwa umepigwa Partially Amnesia ila ukikua unapigea Totaly amnesia ni jukumu lako wewe kutafuta ukweli huo uliofichwa ndani yako...
Na Maelezo hayo yamehifadhiwa vyema kabisa (Kitabu chako upande wa kuume)
Hakuna angependa atengeneze masikini.Mi nachojua destiny ya mtu hutengeneza mwenyewe
Mafanikio ni consistency ya jumla maamumizi madogomadogo...yaliyofanyika vizuri...ndio hupelekea mafanikioHakuna angependa atengeneze masikini.
I know najua mimi huwa na Acces hizo energy kwa kuwaza kuProject concious na Meditation throgh different mudras Na nimefanya mambo mengi kuwezekana ikiwa pamoja na kupata information ya mambo yaliyoshindikana kabisa..Well, inaweza ikawa hivyo. Lakini mafundisho ya Abdullah kupitia mwanafunzi wake Neville, yanatoa nafasi ya kubadili chochote wakati wowote unconditionally kwa kuwaza (imagination) na kuamini tu (faith). Na hii mimi nimeprove personally , sio mara moja, sio mara 10, sio mara 100, mara nyingi mno.
Kuna wakati hadi najiona mchawi. Kuna siku niko chuo nimemaliza boom lote, nina njaa, nikakutana na hii theory, immediately, nikaweka neno ‘DON’ kwenye akaunti zangu za social media, i acted and felt as though i am a ‘DON’, kilichofuata hata sielewi.., hadi Maxence Melo aliniita DON, wakati hata sikuwahi kuwaza kuonana nae. It has been like that ever since, shukuru sana nakupa hii siri.
Nashangaa sana hawa akina Mwamposa na wenzake wanapojipa sifa na utukufu kana kwamba wana uteule flani hivi, ukweli wanaujua, (Wana Mastery ya imagination na faith, kuwa na imani na Mungu {Consiousness} ambaye hujawahi kumuona, na ukaamini kabisa kwamba anaweza sio jambo dogo, (muulizeni Kiranga) na hicho ndio wanachotushinda, imani yao ni kubwa mno!, hata hapa wapo wataniona kama kichaa, ni ngumu kuamini!) ….ila hawawezi wakausema maana ita waondolea umuhimu kwa yale wanayoweza kuyafanya, na ukweli ni huo, kwamba Mungu ni ‘Consiousness’ yako kichwani kwako, nje ya hiyo, hakuna Mungu mwingine, na Mungu ni mmoja tu. Ukiwaza (imagine) na kwa imani kuu (faith) ukakubali kwamba ulichokiwaza kimekuwa hata kabla hakijawa, basi huo ni uumbaji kabisa umefanya, na ni Mungu mwenyewe anafanya kupitia wewe. Na hapo ni kama ‘umeconceive’ kupitia hilo wazo, na unachotakiwa ni kusubiri ujauzito wa wazo ukue na kuzaliwa.
As a final testimony, last year, niliwaza na nikaamini without a shred of doubt (usimjaribu….), kwamba nina nyumba 30 hapa Dar, kwamba nachukua kodi tu, bila hata kuwa na cash wala kiwanja cha kujenga hata 2 tu at a go. Ila one year later, bila hata kujua imewezekanaje, na imekuwa.
Ni story ndefu mkuu!According to science?
Au mimi nimezaliwa tofauti na watu wengine?
Sikumbuki chochote kuhusu kuchagua kuzaliwa katika familia fulani
Ila najitambua tu mimi ni mzaliwa wa familia fulani, ambapo kwangu kuzaliwa haikua option ila nimejikuta tu tayari nipo duniani.
Huyo Doctor na Mwenzake Don wanapitisha kawaha na Chai humu.Doctor hapa penyewe umetulisha matango pori. Inawezekana vipi upange hayo yote wakati unakua hauna ufahamu wowote?
Mambo unayopanga sasa ni tofauti na mambo uliyoyapanga kabla hujaja duniani..Sasa mkuu ,mbona binadamu asilimia zote wana mipango mizuri ,ila asilimia kubwa mambo yanaenda tofauti?
Kwa sasa huwezi kujua kwasababu upo kwenye AmnesiaKwamba wewe unajua kesho yako ikoje acha uongo