Kila kitu kilishapangwa

Ukimsikiliza vizuri Waziri Mkuu wa Israel Mr. Netanyahu na hiki ulichoandika vinafanana. What you sense and believe in it,act on it and the results of it defines how you are and nothing more!
 
Powerful.
 
Jina la kitabu?
 
Unaweza kufanya KILAKITU kwa usahihi/ufasaha, ukakaza kwa asilimia zote 100, ukafata sheria zote, ukakwepa makosa yote na bado ukafeli kama kawaida. Haimaanishi una udhaifu, lkn maisha ndivyo yalivyo... Kila kitu kilishapangwa!
Mkuu naona ushavurugwa sasa
Ni muda wa kujiriji kwa sheria Za ULIMWENGU
 
Hivi unamfuatilia Dr. Ellie D Waminian?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…