Kila kitu kimekuwa fake: Chumvi, sukari, sabuni, viberiti

Unanunua sururu tatu, jembe tatu na chepe tatu, by the time unamaliza kujenga foundation nazo zimeisha.
 
Bidhaa za Kenya ndio zenye ubora, hizi za hapa nchini ni uchafu mtupu.
Unakuta made in Kenya, lakini uhalisia ni mchakachuo toka Mwananyamala. Now days everything is fake even our id's.
 
Usinunue viberiti vya korie nakutahadharisha,usinunue maji ya kilimanjaro yana chumvi kwa mbali.
Nunua wembe wa bic ni original
 
Dawa ni kuimport tu hakuna namna. Watanganyika biashara hatujui
 

Kuna ushahidi mkuu? What if umezeeka na hivyo taste buds zako zimeanza kupotenza uwezi ukilinganisha na zamani? Au kuna majibu ya kimaabara yaliyothibitisha hizo hoja? Kama ni kweli tunaweza kuwa na lawsuit hapa na wahanga wa ufeki huu wakalipwa fidia mufti sana
 
hivi kiwanda cha kibo match kilienda wapi? hivi kweli tuagize viberiti vya njiti china? are we mud?
Mbona kiwanda cha viberiti kipo Makonde hapo Mbezi Beach
 
Kweli njiti za viberiti wanapunja sku hiziπŸ₯Ί
 
Unakuta made in Kenya, lakini uhalisia ni mchakachuo toka Mwananyamala. Now days everything is fake even our id's.
Siongelii vilivyoandikwa, naongelea vya Kenya kabisa. Kama unaweza kuvipata toka huko, ama kwenye chanzo cha uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…