Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!