Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huu ujinga ulianza kipindi cha Mwendazake,Mama kaamua kuundeleza.Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Inakera... Na wasomi wetu nao wapo tena mstari wa mbele kabisa.Huu ujinga ulianza kipindi cha Mwendazake,Mama kaamua kuundeleza.
MalkiaNaona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Walipo kuja na slogan ya kazi iendelee manayake kazi ya kusifiana sifiana mwanzilishi alikuwa JPM kwahiyo mpaka sasa mwwndo ni ule uleNaona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Yaan educated, watu wana master na phd nao wame join praise team, aisee tunahitaji overhaul kama taifaInakera... Na wasomi wetu nao wapo tena mstari wa mbele kabisa.
Utasikia "madaktari wa mama" mara "waalimu wa mama" Sasa akitoka itakuwaje?
Sasa hivi wamezidi aiseeHuu ujinga ulianza kipindi cha Mwendazake,Mama kaamua kuundeleza.
Gloves Zitakuwepo Siku Hiyo Hawatalipishwa 50000/=TSH Wamama Wanao Taraji Kujifungua??Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Ipo ndani ya SamiaNaona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma....usiwalaumu.Inakera... Na wasomi wetu nao wapo tena mstari wa mbele kabisa.
Utasikia "madaktari wa mama" mara "waalimu wa mama" Sasa akitoka itakuwaje?
Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Jitahidi watu wasijue huna akiliNaona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Magu hakuhitaji promo za kipumbavu .. yeye mwenyewe aliingia field na kuhakikisha yanayosemwa kuna Waziri mmoja alimsifia sifia alipomaliza hotuba yake akamtumbua palepale..Huu ujinga ulianza kipindi cha Mwendazake,Mama kaamua kuundeleza.
Watabaki yatima!!!Inakera... Na wasomi wetu nao wapo tena mstari wa mbele kabisa.
Utasikia "madaktari wa mama" mara "waalimu wa mama" Sasa akitoka itakuwaje?
Kabisa, wapo watu watenda kazi wengine wa serikali manake ni kama wao hawapo.Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!