Kila kitu ni UONGO

Kila kitu ni UONGO

1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu zaidi...Mfano mifupa yako itakaa duniani zaidi ya miaka 1000 ila wewe unaishi maika chini ya 100 hivyo hivyo kudhani ww ni bora kuliko kisicho hai ni uongo.

11.Vitakavyo ishi milele ni vile visivyo hai..kama Maji na Miamba,hivyo ukiliona jiwe liheshimu

Ukweli ni kwamba Ubongo unatudanganya...
Kabla ya kuzaliwa hatukua kitu,hatukua chochote ndivyo itakavyo kua siku ukifa....

Utarudi katika hali ileile ya kutokuepo...

Hivyo kila kitu ni Uongo...

Ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai.....ukaushwe au ubaki mifupa..ukiwa hai utaishi maisha mafupi ila ukifa mifupa yako itaishi maisha marefu kuliko uhai wako.

HIVYO dunia ni uongo na maisha yetu ni uongo kuna sehemu Mungu kaweka chip ambayo inatufanya tunaishi uongo...

Hivyo hapa duniani Tunaishi kwa ujasili wa uongo wakati ukweli sisi wenyewe ni uongo

Sisi na Wanyama wengine ni sawa kinacho tutofautisha ni kwamba Mungu alituumba tuje kufanya usimamizi wa dunia hivyo lazima angetupa kitu cha ziada,ambacho ni akili nyingi na Utashi...

Hivyo sisi ni wanyama Mameneja.....

If the MEANS CAN'T CHANGE THE END OF LIFE,as we are all ending at the same point...... what all means of life mean then...???SO LIFE NIUONGO
Mbon km nasikia sauti ya Chid aisee sio mwenyewe huyu?
 
Kama Kuna mtu karibu akusaidie unaweza jinyonga bila sababu,funguka waambie nna msongo wa mawazo
 
Ukweli ni kutu gani?

Kama haupo katika uso wa ardhi wewe ni mfu and you are nothing in the existance world ..compare to the block or stone which can make a cement or hardrock to make or build the buildings on the world
🤷‍♂️🤷‍♂️ nini maana ya kuwepo kwenye uso wa ardhi? Labda ungenielezea sisi binadamu,wanyama e.t.c tupo ndani ,nje au kwenye uso wa ardhi?
 
Ukifika miaka 70 80 ndo utaelewa yoote ni kuukimbiza upepo tu
 
Kaka maisha kwa tafsiri ni ku-sustain existance au presence katika dunia...

Ndi maana kipimo cha maisha cha uwepo wako duniani kinapimwa kikizingatia uwepo wako katika uso wa ardhi na sio chini ya ardhi....

Chochote kilicho juu ya ardhi kina manufaa katika dunia na chocjote kilicho chini hakina manufaa zaidi ya uthaminishaji.,
😂😂 nimeshindwa hata kujizuia kucheka aisee......

Kwanza tujue tafsiri ya neno maisha angalau kwa lugha ya kigeni

Neno maisha (life) linatumika kutambulisha existance ya vitu vilivyo hai (wanyama, wadudu n.k) na neno lifeless/non living (kisicho hai) hutumika kutambulisha existance ya vile ambavyo havina uhai na ndiyo maana maiti huitwa lifeless means kiumbe (kile cheny uhai) kinaweza kutoka katima state hiyo ya kuwa hai kwenda kwenye ya kutokuwa na uhai.

Tukirudi kwenye argument yako hii kwamba "maisha ni ku sustain existance au presence kwenye uso wa dunia " tukija kimaana ya neno maisha ambayo nimeitafsiri hapo juu tunagundua unaji contradict maana hauwezi kusema "HILI JIWE LIMEISHI KWA MIAKA 300" it does not make sence kwa sababu jiwe ni non living concept ya maisha haiwi applicable kwa non living maaana HAVINA UHAI.

Jiwe haliwezi kuishi maisha magumu au myepesi ukianza ku apply concept za living kwenye non-living ujue umeanza kukata tamaa ya kuishi au umefikia ukomo wa kufikiria kwako ndiyo maana nikakushauri U SOCIALIZE kuondoa msongo wa mawazo.
 
Wewe somo la.ZAMADAMU limekupita soma ZAMADAMU mkuuuu
Naongea kama mtu mwenye background ya biology nimeisoma physiology kiundani skeletal structure na vitu vinavyo make up hiyo skeletal structure sina muda wa kuangalia vipindi vinavyoelezea history , na theories za scientists on a surface level .

I dig much deeper
 
Ukifika miaka 70 80 ndo utaelewa yoote ni kuukimbiza upepo tu
Ninamshukuru Mungu nimeelewa mapema. Sio wenye elimu, Dini, falsafa, wala thiologia wanaweza kunidanganya tena.

Namshukuru Mungu sikukaa sana kwenye uongo nikapata kujua siri na mambo waliofichwa wengi.

Hii ya kuzeeka ukiwa unaishi na kuutumikia uingo kwa jasho na damu nwisho unazikwa ukiwa unalaani.
 
1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu zaidi...Mfano mifupa yako itakaa duniani zaidi ya miaka 1000 ila wewe unaishi maika chini ya 100 hivyo hivyo kudhani ww ni bora kuliko kisicho hai ni uongo.

11.Vitakavyo ishi milele ni vile visivyo hai..kama Maji na Miamba,hivyo ukiliona jiwe liheshimu

Ukweli ni kwamba Ubongo unatudanganya...
Kabla ya kuzaliwa hatukua kitu,hatukua chochote ndivyo itakavyo kua siku ukifa....

Utarudi katika hali ileile ya kutokuepo...

Hivyo kila kitu ni Uongo...

Ili uishi maisha marefu hapa duniani lazima usiwe na uhai.....ukaushwe au ubaki mifupa..ukiwa hai utaishi maisha mafupi ila ukifa mifupa yako itaishi maisha marefu kuliko uhai wako.

HIVYO dunia ni uongo na maisha yetu ni uongo kuna sehemu Mungu kaweka chip ambayo inatufanya tunaishi uongo...

Hivyo hapa duniani Tunaishi kwa ujasili wa uongo wakati ukweli sisi wenyewe ni uongo

Sisi na Wanyama wengine ni sawa kinacho tutofautisha ni kwamba Mungu alituumba tuje kufanya usimamizi wa dunia hivyo lazima angetupa kitu cha ziada,ambacho ni akili nyingi na Utashi...

Hivyo sisi ni wanyama Mameneja.....

If the MEANS CAN'T CHANGE THE END OF LIFE,as we are all ending at the same point...... what all means of life mean then...???SO LIFE NIUONGO
Kwa wafu kila kitu ni uongo, lakini kwa walio hai kila kitu ni ukweli. Njaa ni kweli, magonjwa ni kweli, furaha ni kweli, huzuni ni kweli,...
 
Back
Top Bottom