Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Mimi nahitaji ku invest siyo ku trade naomba kujua makampuni ambayo ni legit
 
Huyu mwamba sijui anakumbuka kama ana uzi wa type hii huku JF, mambo yamekua tofauti na utabiri wake totally
 
Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa



Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.


Msaada zaidi njoo PM

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa



Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.


Msaada zaidi PM

 
Bitcoin is the future. Kampuni ya magari Tesla inajiandaa kupokea malipo kwa Bitcoins.
Holders of Bitcoin may be able to cash in some of their investment in the digital currency for a brand new electric car. Thamani ya Bitcoin imepanda sana wiki hii kutokana na tangazo hili.

Electric automaker Tesla said Monday that it has invested around $1.5 billion in Bitcoin and it plans to begin accepting the digital currency as payment for its high-end vehicles soon. The price of Bitcoin soared 15.4% to around $44,500 Monday in reaction to Tesla’s announcement, according to CoinBase.
 
Bitcoin nasikia jana imegonga zaidi ya milion mia na kumi....duuh
 
Mkuu isije ikawa tesla anavuta watu awapige maaa nawaza huyu nakamoto siku akirudi itakuwaje?
 
Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa



Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.


Msaada zaidi njoo PM

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa



Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.


Msaada zaidi PM

 
mkuu isije ikawa tesla anavuta watu awapige maaa nawaza huyu nakamoto siku akirudi itakuwaje?
Nimejikuta kucheka, huyu nakamoto siku akurudi",..

Hapa ndipo watu wanaiogopa bitcoin huyu mtu hajulikani ila jamaa anadunda tu na anecheki watu anasubir zifike usd Billion " labda kama ni kwel anataka kupiga dunia kwa butcoin yke asepe
 
Ikifika hiyo hatua, kama nikitokea basi utakuwa umechelewa sana ndugu
 
Subiria tu ila siku moja utakuja kununua 0.000000009bitcoin-500,000Tsh

Tatizo kila kila kitu mnajua ni utapeli

Ndio maana member wa biashara za crypto currency hapa Bongo wengi wametengeneza magrouop ya what's up na Telegram kwa dhumuni kufanya biashara zao kama kawaida

 
mkuu isije ikawa tesla anavuta watu awapige maaa nawaza huyu nakamoto siku akirudi itakuwaje?
Unacho kizungumza angalia hapa uniambie nchi yetu Tanzani aipo katika nafasi ya ngapi kwenye crypto currency volume cap

Nchi za wenzetu wameona fursa bongo tunaona ni utapeli

Hii picha ni crypto currency volume cap za nchi Hizo ambazo mzunguko wa crypto currency uvyozunguka
 
Yani mtu akushauri DM na namba badala ya kwenye uzi ili wachangiaji waunganishe mawazo.
 
Vijana fanyeni kazi za tangible things. Huko kwenye maforex huko mnatapeliwa tu.
 
Crypto na Forex inabidi uwe na akili zinachemka sio unajua kushabikia Man U na Arsenal ndio uje uwe successful kwenye hizo kazi. Watu wenye akili na wanaosoma sana ndio angalau hawatopata hasara, faida haiko guaranteed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…