Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Inakuwa shida kivipi mkuu? labda jaribu kushare experience tujue beforw hatujaingia huko
Ki uhalisia biashara ipo na ni kweli walio serious wanatengeneza pesa shida inakuja kwenye kupadili digital money kwenda cash money inakausumbufu kidogo mpaka upate mawakala ambao nao watataka commission lakini biashara ipo
 
Nisaidie basi mkuu nataka dogecoin za amount flani hivi
 
Mnajua nyie majamaa mnazingua kinoma
Acheni kupaparikia kuwashawishi watu
Mtu ashaona haimfai aachane nayo sisi tuendelee kuprint hela ili siku yakija kujanjaruka yanakuta soko limeshakuwa limited inakuwa ni mwendo wa sagura osesa

Kafanyeni biashara ila mkae mkijua juzi msafara wa vunja bei mbeya ulikuwa mrefu kuliko mstari unaopangwa na wanachuo kwenye kusign boom
 
Nimejikuta kucheka, huyu nakamoto siku akurudi",..

Hapa ndipo watu wanaiogopa bitcoin huyu mtu hajulikani ila jamaa anadunda tu na anecheki watu anasubir zifike usd Billion " labda kama ni kwel anataka kupiga dunia kwa butcoin yke asepe

Mwenyewe kumbe hata huelewi watu wanachohofia siku jamaa akirudi
 
Oyaa crypto geeks, nauliza hiv hiz mambo za kuwa kuna bitcoin mining sites ni kweli kuna legit sites za kumine bitcoin na profitable
 
Oyaa crypto geeks, nauliza hiv hiz mambo za kuwa kuna bitcoin mining sites ni kweli kuna legit sites za kumine bitcoin na profitable.
 
We africans need to wake up,The world is going to next level technology is taking place.kama hatuwezi kuendana nayo sambamba basi tutazidi kuitwa masikini milele.Ukisoma vitabu vya crypt na ukisoma vitabu kadhaa vya juu ya prediction ya dunia katika future utagundua kwamba money as fiat haina stability ya kuhandle some economic problems.example infaltion,ufisadi,wizi na matatizo mbalimbali ya kiuchumiii.

Hizi crypt ni moja ya njia ya kuziba hizo weekness za money na itafanikiwa watu wasitake au watake coz the world needs new money and that is the digital money.ukicheki vizuri nchi kadhaa saiv zina hadi ATM za bitcoin tena ni nchi tajiri na zenye nguvu ,wat do you think hizi changes wont effect hizi medium and small countries?

In some countries watu saiv hawatembei na fedha they only need their phones only,itakuja time they will only walk with their finger
 
we africans need to wake up,The world is going to next level technology is taking place.kama hatuwezi kuendana nayo sambamba basi tutazidi kuitwa masikini milele.Ukisoma vitabu vya crypt na ukisoma vitabu kadhaa vya juu ya prediction ya dunia katika future utagundua kwamba money as fiat haina stability ya kuhandle some economic problems.example infaltion,ufisadi,wizi na matatizo mbalimbali ya kiuchumiii.

Hizi crypt ni moja ya njia ya kuziba hizo weekness za money na itafanikiwa watu wasitake au watake coz the world needs new money and that is the digital money.ukicheki vizuri nchi kadhaa saiv zina hadi ATM za bitcoin tena ni nchi tajiri na zenye nguvu ,wat do you think hizi changes wont effect hizi medium and small countries?

in some countries watu saiv hawatembei na fedha they only need their phones only,itakuja time they will only walk with their finger
Endelea kutupa mwanga mkuu, tunakusikiliza vya kutosha
 
Bora ujifunze kununua sarafu Digital mbalimbali bei zikiwa ndogo baadae uuze
kwa bei kubwa

Mfano kwenye crypto currency unaweza kununua sarafu mfano ukatenga 500,000 upate sarafu 10 kwa bei ndogo

Ndani ya hizo sarafu 10 sarafu 4 au 5 zikaenda vibaya yani hazikupanda thamani

Sarafu tano utakazobakiwa nazo zikipanda utajikuta umetengeneza $1500 mpaka $2000 kwa muda mfupi

NB. Baada ya kuona wachangiaji wengi ndani JF wanapotosha mada za crypto na forex ilibidi wafungue magroup ya what's up na telegram kuendelea na mambo hayo maana kule tunazungumza lugha moja
 
Doge coin unaionaje mkuu
 
Hizi ndio nini kaka hebu dadavua kidogo
Kuna akina Nexo nimeweka pia kidogo

Screenshot_20210430-182710.png
 
Back
Top Bottom