BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
Ki uhalisia biashara ipo na ni kweli walio serious wanatengeneza pesa shida inakuja kwenye kupadili digital money kwenda cash money inakausumbufu kidogo mpaka upate mawakala ambao nao watataka commission lakini biashara ipoInakuwa shida kivipi mkuu? labda jaribu kushare experience tujue beforw hatujaingia huko
Nisaidie basi mkuu nataka dogecoin za amount flani hiviKi uhalisia biashara ipo na ni kweli walio serious wanatengeneza pesa shida inakuja kwenye kupadili digital money kwenda cash money inakausumbufu kidogo mpaka upate mawakala ambao nao watataka commission lakini biashara ipo
Nimejikuta kucheka, huyu nakamoto siku akurudi",..
Hapa ndipo watu wanaiogopa bitcoin huyu mtu hajulikani ila jamaa anadunda tu na anecheki watu anasubir zifike usd Billion " labda kama ni kwel anataka kupiga dunia kwa butcoin yke asepe
Hizo trade za gbpjpy ungehold mpaka Leo ungkua mbali Sana kakaHizo ni trades halisi kuanzia tarehe 9 December juzi.View attachment 1647668View attachment 1647669
Kama uko Dar nitafute nikufundishe.we ushaiva? if umeiva njoo nipigishe ww nkulipe mkuu
Pamoja nduguKaka asante sana, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Endelea kutupa mwanga mkuu, tunakusikiliza vya kutoshawe africans need to wake up,The world is going to next level technology is taking place.kama hatuwezi kuendana nayo sambamba basi tutazidi kuitwa masikini milele.Ukisoma vitabu vya crypt na ukisoma vitabu kadhaa vya juu ya prediction ya dunia katika future utagundua kwamba money as fiat haina stability ya kuhandle some economic problems.example infaltion,ufisadi,wizi na matatizo mbalimbali ya kiuchumiii.
Hizi crypt ni moja ya njia ya kuziba hizo weekness za money na itafanikiwa watu wasitake au watake coz the world needs new money and that is the digital money.ukicheki vizuri nchi kadhaa saiv zina hadi ATM za bitcoin tena ni nchi tajiri na zenye nguvu ,wat do you think hizi changes wont effect hizi medium and small countries?
in some countries watu saiv hawatembei na fedha they only need their phones only,itakuja time they will only walk with their finger
achana na hii utapoteza muda na rawmaterial zako,ebo check namna ya kuinvets katika ICPO,IPO NA ALTC.Oyaa crypto geeks, nauliza hiv hiz mambo za kuwa kuna bitcoin mining sites ni kweli kuna legit sites za kumine bitcoin na profitable
Doge coin unaionaje mkuuBora ujifunze kununua sarafu Digital mbalimbali bei zikiwa ndogo baadae uuze
kwa bei kubwa
Mfano kwenye crypto currency unaweza kununua sarafu mfano ukatenga 500,000 upate sarafu 10 kwa bei ndogo
Ndani ya hizo sarafu 10 sarafu 4 au 5 zikaenda vibaya yani hazikupanda thamani
Sarafu tano utakazobakiwa nazo zikipanda utajikuta umetengeneza $1500 mpaka $2000 kwa muda mfupi
NB. Baada ya kuona wachangiaji wengi ndani JF wanapotosha mada za crypto na forex ilibidi wafungue magroup ya what's up na telegram kuendelea na mambo hayo maana kule tunazungumza lugha moja
Hizi ndio nini kaka hebu dadavua kidogoachana na hii utapoteza muda na rawmaterial zako,ebo check namna ya kuinvets katika ICPO,IPO NA ALTC.
Kuna akina Nexo nimeweka pia kidogoHizi ndio nini kaka hebu dadavua kidogo
Mfuate huyo Mwl.RCT atakusaidia, ndio msaada wangu kwakoNgoja nikagoogle maana hapa naona mnaleta vitu in summary sana