Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

bado unazo? 0.0789×68,000
 
Me mwenyewe naumia sana, 2015 kuna mwamba alinishauri ninunue btc nikagoma, na hela nilikuwa nayo, yy akanunua 4 kwa 2k+ usd, anazo mpaka leo anasubiri btc igonge 100k usd ndo auze.
Nenda kwa kiboko ya wachawi atakusaidia.
 
Makirita Amani anadhani kusoma vitabu na kuwa kocha basi atakuwa saihi kwa kila angle.

Watu wana real experience,makirita amani ni kijana mdogo ambae anatakiwa awe kimya akijifunza maisha.

Sijui anatoa wapi ujasiri wa kuwa muongeaji,nadhani vitabu vinamdanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…