Kila kona ni Mayele style

Kila kona ni Mayele style

Kama huko Congo show za wanamuziki huwa wanapiga sana hii style jamaa kaweza kubuni au sijui na yeye kakopi sehemu?
 
Kuna jamaa amewahi post uzi kumhusu mayele nadhani jamaa ana nyota
Huu hapa

 
Back
Top Bottom