Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona Mazoezini SimbaView attachment 2086787
Hii video imenifanya nijiulize maswali mawili, ni kwamba style ya Mayele imewabamba hadi wachezaji wa Simba au ndio Mayele mwenyewe ndiye kawabamba wachezaji wa SimbaOna Mazoezini SimbaView attachment 2086787
Kuna wachezaji wataitwa kwenye kamati ya maadili Na nidhamu ya Makolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mayele jamaa noma sana. Sijui jamaa aliiba wapi hii style.
All in all maendeleo hayana chama.
Kabisa,sasa mayele ni maarufuOna Mazoezini SimbaView attachment 2086787
Mwamedi na Barbara wanaicheza sana hii tusubiri video yao ivuje, utacheka mbaka uvunjike mbavu.Ngoja mwamedi awaone
Huu hapaKuna jamaa amewahi post uzi kumhusu mayele nadhani jamaa ana nyota
Parachichi toka Mbeya umekuja nazo lakini Mkuu!?Hiyo style iliwaletea kombe la mapinduzi nyie mautopolo
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hiyo style iliwaletea kombe la mapinduzi nyie mautopolo
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Nawaonea huruma wamuombe msamaha mapema mwamediNgoja mwamedi awaone
Parachichi toka Mbeya umekuja nazo lakini Mkuu!?