kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka.
Kubadirika gafla kwa maadili hususani kwa watoto imekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wote kwani ni Mungu tu ndie anayeweza kuamua hatima ya kizazi chako.
Kilichonikatisha lengo la kuendelea kuitwa baba ni baada ya juzi kukutana na account TikTok ambayo ni maalumu kwa ajili ya mashoga weusi (balack gays).
Ndugu zangu baada ya kukumbana na hilo nilikaa na kutafakari hasa msimamo wa nchi yetu uko wapi kwani hakuna kiongozi mkuu yoyote hata aliyesimama hadharani na kutamka Tanzania ushoga ni kosa la jinai na adhabu kali itatolewa kwa yoyote atakayebainika.
Angalia sie wakatoliki tulivyovurugwa na kiongozi wetu mkuu kuhusu ushoga, angalia kisiwani Zanzibar Kasi ya ushoga tena ikihusisha vijana wazawa wa huko visiwani mfano Mauzinde aliyekatwa masikio juzi kati. Kijana huyu kupitia page zake za Instagram na TikTok anajitangaza na anaona fahari kuwa shoga!
Itaendelea