Nimekutana nayo sana hiyo situationNi matumaini yangu mpo salama kabisa.
Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera.
Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anaekutana na hii Hali? Na anawezaje kujibu maswali ya; hivi unamfahamu fulani? Ni ndugu Yako? Syo ndugu Yako kivipi? Mbona mmefana sana?
Kuna wakati huwa nahisi mtu atafanya uhalifu halafu nifananishwe Mimi.
Hello, kama Kuna msaada tafadhali naombeni haya maswali wasiniulize Tena, yanachosha.
Au Marehemu.Ni matumaini yangu mpo salama kabisa.

Tukuone na sisi hata macho [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] Niko serious, hii kitu Kuna siku itakuja nisababishia tatizo
Hiyo ni mbaya sana sometimes Kuna sehemu Fulani Kuna jamaa alifananishwa na mtu mwenye M PESA akidhaniwa kuwa ni mwizi aliyekuja kutapeli pale siku kadhaa nyuma, yule jamaa aliuwawa😅😅😅 Niko serious, hii kitu Kuna siku itakuja nisababishia tatizo
Duniani hapa tunavadilishana vizazi ni wale waleNi matumaini yangu mpo salama kabisa.
Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera.
Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anaekutana na hii Hali? Na anawezaje kujibu maswali ya; hivi unamfahamu fulani? Ni ndugu Yako? Syo ndugu Yako kivipi? Mbona mmefana sana?
Kuna wakati huwa nahisi mtu atafanya uhalifu halafu nifananishwe Mimi.
Hello, kama Kuna msaada tafadhali naombeni haya maswali wasiniulize Tena, yanachosha.
Utakuwa ni wale wenye sura za Yutong zile za mwanzo, nawe ni mmoja wapo.Ni matumaini yangu mpo salama kabisa.
Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera.
Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anaekutana na hii Hali? Na anawezaje kujibu maswali ya; hivi unamfahamu fulani? Ni ndugu Yako? Syo ndugu Yako kivipi? Mbona mmefana sana?
Kuna wakati huwa nahisi mtu atafanya uhalifu halafu nifananishwe Mimi.
Hello, kama Kuna msaada tafadhali naombeni haya maswali wasiniulize Tena, yanachosha.
Usomdudu.Nimekufananisha na trump