Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Senegal yenyewe sikuishabikia sembuse Morocco
Anyway mara mia nishabikie wazungu kuliko waarabu
Mbwa Koko vpWakitoboa mniite mbwaaa nimekaa pale[emoji117]
Anzisha nitakuja huko kupinga hayo mabaguzi ya rangi na diningChuki zitakumaliza nkoi bhabhaa😃, na soon nitaanzisha thread ya morocco(simba wa atlas) sijui utajisikiaje 😃
Aswaah
Mkuu, kuna watu wabaguzi duniani kama waafrika, japo sio wote! Wewe hapo umeshajionesha ni mbaguzi wa rangiAnzisha nitakuja huko kupinga hayo mabaguzi ya rangi na dining
Ptuuuuuuuuuuuuuuh !!!!
Mabaguzi ya dini hayoooooooMorocco to the semi😄
Mkuu, kuna watu wabaguzi duniani kama waafrika, japo sio wote! Wewe hapo umeshajionesha ni mbaguzi wa rangi
Mabaguzi ya dini hayooooooo
Mwisho wao j4 yatakapoliwa kichwa na mzungu .
Hujui dini imeingiaje ?Dini imeingiaje tena!
Hii kasumba inatutesa sana, ya kujihisi ni watu wa kubaguliwa tu 😃
Hujui dini imeingiaje ?
Ushindi wao waliu dedicate kwa watu wa dini gani kwani?
Huwezi kuta wazungu wanafanya upuuzi huo.
Twenzetu France 🇫🇷!!!!!!
Hayo ya kusema watu weusi umesema wewe!Kwanini umeichagua france? Kwakua ina weusi? Huwezi shawishi watu wakufuate unavyotaka wewe, kwanza nitakua mpumbavu nishabikie france na kuwaacha morocco, wanaume halisi na wala hawana chembe chembe za ushoga
Olenimala nkoi? Au niongee kichina unielewe!
Shida sio kuwa waarabu, Shida ni maneno yao, Hata wagana wangekuwa na hizo pigo za kujitenga na kuwadharau waafrika wengine tungewatenga.Hivi ina make sense uwatenge morocco kisa ni waarabu!! Mbona haimake sense mjomba!! Ingelikua ndio ghana and Portugal ungekuja na huu ubaguzi!!!
God bless Moroccans
Umempiga nyundo ya kichwaShida sio kuwa waarabu, Shida ni maneno yao, Hata wagana wangekuwa na hizo pigo za kujitenga na kuwadharau waafrika wengine tungewatenga.
Aliyeanza ubaguzi ni Moroco na ndiye aliyetaka kujiunga na Ulaya.
Kwahyo kuendelea kujipendekeza kwa watu wsnaokubagua kama wewe unavyofanya, either wamekuoa au nawewe ni mwarabu, ila kama sio hizo basi wewe ni kichaa