Simba bingwa msimu huuHii mtaani tusema
"Utaoga lakini mjini huendi"
Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni
Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi
Tuna uhakika 100% kuwa mwisho wa msimu mtalia
Yanga bingwa
Hii mtaani tusema

Tusubiri mwisho wa msimuNever
WordUshindi wa Simba dhidi ya tabora ni jambo la lazima sio hisani
🤣🤣Nami nimeshangaa ..huyu jamaa huyu🙌Yaan wewe iitakie Simba Mema? Wewe Utopolo😂😂
🤣🤣Nami nimeshangaa ..huyu jamaa huyu🙌