Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

Mna misemo nyie Utopolo!

Kuoga mtaoga,Lkn mjini hamuendi..!

Nakumbuka hata group stage ya CAF, mlisemaga hivyo hivyo.....! Lkn waaapi Watu Waleeeeee...ndani ya Robo
 
Hii mtaani tusema
"Utaoga lakini mjini huendi"
Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni

Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi

Tuna uhakika 100% kuwa mwisho wa msimu mtalia

Yanga bingwa
Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi🤣🤣🤣
IMG-20250202-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom