Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Siwalaumu hata kidogo. Check kikosi cha senegal karibu wachezaji wote wanacheza soka ulaya na wanauzoefu wa kutosha
 
Amunuikeke kanipigia Simu anasema imetosha, ngoja akatazame sehemu nyingine.
 
Mamaye,
Hakuna hata mmoja anacheza ligi ndani ya Africa hapo
 
Team wazalendo mpo wapi daah siku ile wanafuzu humu tulikomeshwa

Tupo tumejaa tele! Uzuri tulishajua mapema kitakacho tokea. Kilichomtokea Oscar Milambo baada ya kuvurunda kwenye Afcon ya vijana ndicho kitakacho mtokea Amunike.
 
Mlezi wa timu anaitwa nani vile CHAKUBANGA BASHITE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…