Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Na hawa Senegal wanaboa sometime!! Hivi wanashindwaje mpaka sasa kutupiga Mkono ?
 
La pili tumelambwa lakifala kabisa , mpira umewapita watu 3 mbele yao.
 
duuh imbombo ngaff[emoji23][emoji23][emoji23]. Leo meng.

Hawa waliokwepa ule "mua" ni wachezaji wetu au?
 
Ni kweli hapo tunacheza na 1 kwa soka Africa wakati sisi ni 36, hiyo timu iliyo uwanjani hapo ni mchezaji mmoja tu anaecheza ndani wengine wote ni ulaya.
Yes...Diatta mwenyewe wanakutana na Samatha....atamcheka saana.
 
Back
Top Bottom