Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Ameingia mshkaji wake Captain Samatta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipoooo! Nakuona na mnachungu ya Taifa StarsUpo. ....Lyn
Uganda walifanya kosa kubwa sana,Uganda kwa nini mlituachia ile mechi ya kufuzu? Huenda Lesotho au Cape Verde wangejitahidi kidogo
Wazalendo wa maboxHata kurudi Nyumbani ni kheri
Kila la kheri Taifa stars
Nchi ya viwandadk 64
sisi 2-0 Bashite
Usijali mtarajiwaTuombe tule goli ndogo zisifike hamsa tu
Kabisa mkuu! Hii aibu isingetuhusuUganda walifanya kosa kubwa sana,
Yes...Diatta mwenyewe wanakutana na Samatha....atamcheka saana.Ni kweli hapo tunacheza na 1 kwa soka Africa wakati sisi ni 36, hiyo timu iliyo uwanjani hapo ni mchezaji mmoja tu anaecheza ndani wengine wote ni ulaya.