Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Hii timu mchezaji namuona anajitahidi ni Manula peke yake ,maana anaokoa magoli tu.
 
Yanga huyo

Yanga hatuwezi kuwa na wachezaji aina ya Mwantika! All in all, Mwanyika na Ally Sonso ni kati ya watu watakao laani iwapo Amunike atatimuliwa. Maana kwenye timu zao, huwa wanasugua tu benchi ila kwenye timu ya Taifa, ni mawe yaliyokataliwa na waashi.
 
Yanga hatuwezi kuwa na wachezaji aina ya Mwantika! All in all, Mwanyika na Ally Sonso ni kati ya watu watakao laani iwapo Amunike atatimuliwa. Maana kwenye timu zao, huwa wanasugua tu benchi ila kwenye timu ya Taifa, ni mawe yaliyokataliwa na waashi.

🤣🤣🤣🤣 natania mkuu mwantika kuitwa kwake nilishangaa sana
 
Senegal hamna kitu lakini sie ndio tumezidi, senegal hii kwa timu ile ya Maximo wangelamba nyingi sana.
 
Nawakumbusha tu jamani

Kikosi cha SENEGAL 🇸🇳 kilichipo humo

1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.
Mkuu watu wanaongea tu hapa hawawajui vizuri hawa jamaa kwa kulinganisha na wachezaji wetu,
Hadi hapa wamejitahidi kwa kweli.
 
Tatizo sio kocha.
Tatizo ni michezaji yenyewe hawana viwango, hawajiamini. Kila apatae moira ni kupiga tu. Senegal wanacheza mpira hawa wetu wanapiga mpira tu. Ujue hizo tofauti. Usimlaumu kocha
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
 
Nawakumbusha tu jamani

Kikosi cha SENEGAL 🇸🇳 kilichipo humo

1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.

Tuwekee na sub mkuu ili tuone ni kwa namna gani tunamlaumu Amunike wa watu wakati kiuhalisia hatujawekeza kwenye mpira zaidi ya viongozi wa TFF kupigana tu vikumbo kuzitafuna hela za FIFA.
 
Back
Top Bottom