Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Sijuii mkuuVipi Posho zao walilipwa.
Huyu jamaa kwenye upangaji wa timu ana mapungufu kiasi chake! Mpaka mheshimiwa Rais wetu Jpm anafahamu hasa kwa alichotufanyia kule Lesotho.
Ni kweli lakini hawa watu bado wanatuzidi mbali sana hata kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja huo ndo ukweliNafahamu.
Bado sio kwa mpira tunaocheza haitoshi kujitetea.....
Kiwango hamna kabisa.. Kipa wa Senegal kurelax tu..mpira wa bongo magazeti. Hamna kiwango kabisa mle..tusidanganyane kwa kiwango hiki tutanusa fainali
Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Kuzidiwa hata sikatai...Ni kweli lakini hawa watu bado wanatuzidi mbali sana hata kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja huo ndo ukweli
Kocha ni tatizo namba mojaSijamuelewa huyu kocha
Kila kitu hovyo hovyo.
Ni kweli hapo tunacheza na 1 kwa soka Africa wakati sisi ni 36, hiyo timu iliyo uwanjani hapo ni mchezaji mmoja tu anaecheza ndani wengine wote ni ulaya.Kuzidiwa hata sikatai...
Namibia mwenyewe kwa Morocco kazidiwa saana.
Ila alikaza na alikuwa anaeleweka.