Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga huyo
Mzee wa Urojo..Huo ndio uamuzi wa Amunike katuwekea kiungo cha chipsi.
Yanga hatuwezi kuwa na wachezaji aina ya Mwantika! All in all, Mwanyika na Ally Sonso ni kati ya watu watakao laani iwapo Amunike atatimuliwa. Maana kwenye timu zao, huwa wanasugua tu benchi ila kwenye timu ya Taifa, ni mawe yaliyokataliwa na waashi.
poleni wa TzNafahamu.
Bado sio kwa mpira tunaocheza haitoshi kujitetea.....
aish manura vs senegal
Dah! Inasikitisha sana. Halafu wameshachoka hawana staminaHawa Taifa Starz niwakuchapa fimbo, wanacheza kama watoto wa shule ya msingi 😡 .
Upo. ....Lynpoleni wa Tz
Mkuu watu wanaongea tu hapa hawawajui vizuri hawa jamaa kwa kulinganisha na wachezaji wetu,Nawakumbusha tu jamani
Kikosi cha SENEGAL 🇸🇳 kilichipo humo
1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Nawakumbusha tu jamani
Kikosi cha SENEGAL 🇸🇳 kilichipo humo
1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.
Wacha tu, aibu tupu senegal wenyewe hamna kitu yani ila sie tumezidi.aish manura vs senegal