ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Itakua ni Maelekezo kutoka juuKulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ni Maelekezo kutoka juuKulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji40]Tuwaunge mkono Taifa stars hata kama wanabugizwa magoli
Wale wamekaribiana na binadamu,Niliwahi andika humu(kulingana na mtazamo wangu) kuwa kuna ushahidi wa kimazingira unaoonyesha kuwa kadri unavyoenda kaskazini mwa bara hili la Afrika,basi hata ubora wa binadamu nao unaongezeka kwa maana ya akili,maarifa,rangi,ubunifu,maendeleo,n.k.but with some few exceptions.
kumbuka Afrika Kaskazini ndio wanapakana/wanakaribiana na nchi za ulaya(zenye maendeleo) na nchi hizi za Afrika kaskazini ndio zimetuzidi kwa mambo mengi kwani hata katika soka, ni nchi hizi za Afrika Kaskazi/Afrika Magharibi ndio ziko juu kisoka na ndio zinatoa wacheza wengi kwenda kucheza soka ulaya tofauti na huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara.
I believe Nature is responsible here.
Na huu ndio ukweli mchungu ingawa ni weusi kama sisi.Wale wamekaribiana na binadamu,
Mpira ni hesabu. Kama huwezi faulu hesabu huwezi faulu chochote ksbbu kila kitu kinaanza na hesabu, alafu kinachotutesa ss tunapenda maisha ya kukatiza sana, mitoko yetu ni ya short cut kuanzia siasa tunashinda kwa kuibiana kura, darasani mpaka chuo kikuu nimeshudia watu wanaingia na viboot, a.k.a makaratasi ya kutazamia kwenye mitihani, kila kitu ujanjaujanja mpaka budget zetu zinapitishwa kwa ujanja ujanja ona pamaka soka letu tunafuzu kwenda misri kwa ujanjaujanja Nina wasiwasi na Mipango yetu ni ya ujanja tu, kwakweli inanikela mno, tunazidiwa na Burundi ? Tuko wajinga sanaWatanzania wengi wana IQ ndogo sana ! Hivyo wana michezo ,wanasiasa hawana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka!
Tunachoweza na ambacho hatuna mshindani duniani ni unafiki na urongo tu!
Kwa hiyo Unahisi hii timu akipewa Guadiola itaweza kumfunga Senegal?! Mkuu Senegal unawachukuliaje?!Huyu Amunike aishie hukohuko asije na timu....Nitaenda airport na rungu akishuka tu nampa kibano kama tunavyoua mbwa vikongwe huku kwetu...
Kwan nan kasema nafanya hv kwa ajili ya Senegal ... Kwan yy ni mara ya kwanza kufanya upumbav...hukumbuki mechi za kufuzu??....huyu kocha ashafukuzwa mara nyingi tu huko sijui tff walimpendea kitu gan...Kwa hiyo Unahisi hii timu akipewa Guadiola itaweza kumfunga Senegal?! Mkuu Senegal unawachukuliaje?!
Huko tutakutana na kipigo cha mbwa kokostars tukiwafunga Kenya tutaingia 16 bora kama best losers
Mkuu vp matokeo yamekupa furaha?😀Kila la kheri Stars, nasubiri matokeo ya aina yoyote nitayapokea kwa furaha
Sanaaa mkuu.Mkuu vp matokeo yamekupa furaha?[emoji3]
But BLACK is the best color on earth.Niliwahi andika humu(kulingana na mtazamo wangu) kuwa kuna ushahidi wa kimazingira unaoonyesha kuwa kadri unavyoenda kaskazini mwa bara hili la Afrika,basi hata ubora wa binadamu nao unaongezeka kwa maana ya akili,maarifa,rangi,ubunifu,maendeleo,n.k.but with some few exceptions.
kumbuka Afrika Kaskazini ndio wanapakana/wanakaribiana na nchi za ulaya(zenye maendeleo) na nchi hizi za Afrika kaskazini ndio zimetuzidi kwa mambo mengi kwani hata katika soka, ni nchi hizi za Afrika Kaskazi/Afrika Magharibi ndio ziko juu kisoka na ndio zinatoa wacheza wengi kwenda kucheza soka ulaya tofauti na huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara.
I believe Nature is responsible here.
But BLACK is the best color on earth.
Fei toto.
Mwantika
Muddathir
Manula
Boko
Msuva
Samatta.
Mechi ijayo wasipobadilika. Tutegemee haya haya yaliyotokea leo
Gueye vs Fei Toto,vita Kali pale kati je nan ataibuka mbabe...kauli ya mchambuzi uchwara fulani hivi wakibongo[emoji23]