mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Manula tena?
Nadhani Jana umeangalia game tofauti na tuliyoiangalia sisi! Ki ukweli Manula Jana kapiga kazi.
Uliangali@ mechi braza...yawezekana ulicheki highlightsRudi kaangalie magoli aliyofungwa.
Alafu njoo.
Kama wewe ni mtu wa mpira utagundua
Uliangali@ mechi braza...yawezekana ulicheki highlights
Huyu ndiye aliyeharibu kila kitu!Mkuu Makene ahsante sana kwa ujumbe murua. Japo niliacha kushabikia hii timu sababu ya DAB, kwa bandiko hili na wito aliotoa Mh. Mbowe leo wacha niwe na Taifa Stars japo matokeo ni obvious.
Angalia sasa ugonjwa na upumbavu huu wa kutaka kila kitu kiwe ni cha chama chao.Wenye busara na waliozaliwa na vipaji vya uongozi, utawajua tu kupitia kauli na matendo yao.
Mnatufanyia hujuma sisi Wanzanzibar kuunda timu moja na nyie watu wa bara.
Tuacheni Zanzibar tuunde timu yetu na kushiriki kama sisi..
Zanzibar Heroes
Vp kuhusu aliyosave...mbona unasemea aliyofungwa tu..Mimi nakwambia ukweli. Magoli aliyofungwa Manula angeweza kuokoa. Nyie mteteeni lakini mjue ndo tunaliangamiza taifa.
Goli la kwanza mpira unapita vidoleni.
Goli la pili hata kuruka hajaruka anauangalia TU mpira.
Ndo maana nasema rudia kuangalia vizuri.
Mabeki washambuliaji na viungo vyote vilikuwa vibovu. Ila kipa nae alikuwa mbovu zaidi
Mnatufanyia hujuma sisi Wanzanzibar kuunda timu moja na nyie watu wa bara.
Tuacheni Zanzibar tuunde timu yetu na kushiriki kama sisi..
Zanzibar Heroes
since a black and white tv set is not categorized as color tv this kind of mindset will continue to be an African syllabus.Best color for charcoal
Mimi nakwambia ukweli. Magoli aliyofungwa Manula angeweza kuokoa. Nyie mteteeni lakini mjue ndo tunaliangamiza taifa.
Goli la kwanza mpira unapita vidoleni.
Goli la pili hata kuruka hajaruka anauangalia TU mpira.
Ndo maana nasema rudia kuangalia vizuri.
Mabeki washambuliaji na viungo vyote vilikuwa vibovu. Ila kipa nae alikuwa mbovu zaidi
Mkuu kashabikie Rede sio lazima ushabikie Mpira coz kwa Mtazamo wako magoli yote wanayofungwa makipa yanaweza kuokolewa pindi ukaapo kwenye TV na kupima uzito wa goli kupitia Solo motion ya TV yako.
πππ Jana uliangalia mechi Best?Makonda hoyeeee
Halafu nilikukumbuka leo aisee Mtani.Mkuu kashabikie Rede sio lazima ushabikie Mpira coz kwa Mtazamo wako magoli yote wanayofungwa makipa yanaweza kuokolewa pindi ukaapo kwenye TV na kupima uzito wa goli kupitia Solo motion ya TV yako.
Mmh! Mkuu jana uliona alichokifanya Fei Toto au sio Mzanzibar yule?Mnatufanyia hujuma sisi Wanzanzibar kuunda timu moja na nyie watu wa bara.
Tuacheni Zanzibar tuunde timu yetu na kushiriki kama sisi..
Zanzibar Heroes
πππ Jana uliangalia mechi Best?
walifungwa na Colombia , wakatoka sare na Japan waliifunga polandUnaelewa Senegal alitokaje au unafyatuka tu..
Tuache masikhara Senegal anajua nadhani alifungana pointi na Japan akashindwa GD...hakutoka kirahisi huyu mtu...Huyo diatta unayemuona amebebwa kutoka kijijini kwao Senegal sasahivi yupo ulaya anacheza wachezaji wote wa west Africa wanabebana wanapendana hata amunike Enzi zake
walifungwa na Colombia , wakatoka sare na Japan waliifunga poland
Pale ilitakiwa aifunge Japan akakosea akapelekeshwa na wajapaniTuache masikhara Senegal anajua nadhani alifungana pointi na Japan akashindwa GD...hakutoka kirahisi huyu mtu...