Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

NDUGU NINA WALAKINI NA HUU MFUMO WA AMUNIKE NA HAO MIDFIELDER WAKE! UNAMCHEZESHA HIMID MAO IN ATTACKING POSITION ILI AWEJE SASA? AKABE KUTOKA JUU? FEI TOTO AFANYE NINI?

TUSUBIRI MUDA
 
Anachokifanya fei toto humo uwanjani katika kipindi hiki cha kwanza, ni yeye, kocha wake na Mungu tu ndiyo wanaojua! Dogo alitakiwa atokee benchi wakati tayari timu iko mbele kwa goli moja.

Tuendelee tu kumuomba Mungu atulinde maana jamaa wamekosa goli nyingi za wazi.
 
Mungu ibariki Tanzania.Mungu wetu sote so hata sisi tunaweza shinda.
NB
Nimekula na kuoga kabisa hata nikifungwa moja kwa moja naenda kulala.
 
Back
Top Bottom