Mkuu inauma sana aisee, waandae ndege mapema warejee nyumbani baada ya mechi ya mwisho hatua hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahaha usijali kisura.Wakicheza nyumban lakni.,zile za nje kwa nje usiniite[emoji4]
We niweke tu mtarajiwaunaniruhusu nikuweke wewe?
Siko tiyari kukupoteza mtarajiwa mimi
Tatizo la Tanzania ni upoyoyo wa kuingiza sisa badala ya uwekezaji. Kingine kila mwanasiasa mjingamjinga anataka apate umaarufu kupitia timu ya taifa. Senegal piga hao undercats 3 bila turudi kwenye maisha yetu ya kuneemesha majizi.Nikizitazama Madagascar, Namibia, Burundi, Kenya .... Tanzania ni zaidi ya underdog - dhaifu kuliko wote
Mkuu inauma sana aisee, waandae ndege mapema warejee nyumbani baada ya mechi ya mwisho hatua hii
Wabunge wa ccm wametia nuksi, baada ya kupigana huko misri
Kina Ndugai wapo huko Misri, ni zaidi ya nuksi kwa kweliTatizo la Tanzania ni upoyoyo wa kuingiza sisa badala ya uwekezaji. Kingine kila mwanasiasa mjingamjinga anataka apate umaarufu kupitia timu ya taifa. Senegal piga hao undercats 3 bila turudi kwenye maisha yetu ya kuneemesha majizi.