Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Nikizitazama Madagascar, Namibia, Burundi, Kenya .... Tanzania ni zaidi ya underdog - dhaifu kuliko wote
Tatizo la Tanzania ni upoyoyo wa kuingiza sisa badala ya uwekezaji. Kingine kila mwanasiasa mjingamjinga anataka apate umaarufu kupitia timu ya taifa. Senegal piga hao undercats 3 bila turudi kwenye maisha yetu ya kuneemesha majizi.
 
Kila la heri taifa star
Licha kuna watu fulani washatuwekea gundu

Ova
 
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
 
Utekelezaji wa Ilani
IMG_20190623_204018.jpeg
 
Tatizo la Tanzania ni upoyoyo wa kuingiza sisa badala ya uwekezaji. Kingine kila mwanasiasa mjingamjinga anataka apate umaarufu kupitia timu ya taifa. Senegal piga hao undercats 3 bila turudi kwenye maisha yetu ya kuneemesha majizi.
Kina Ndugai wapo huko Misri, ni zaidi ya nuksi kwa kweli
 
Back
Top Bottom