Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Uwakaji(uwashwaji?)wa huo mshumaa ni kizunguzungu!Mosi,umewashwa sehemu mbili.Pili,unaendelea kutoa mwanga na joto kwa kuzunguka(kuzungushwa?).Tatu,yaonekana unajipooza kwa kuzunguka ili usiishe haraka kwa mwendo wa hiyari ishinde utumwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu atakula si chini ya viwili[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…