Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Jamaa ndiyo wamenyanyuka wakiwa na bashasha na kujiamini at par. Wachezaji na viongozi wako na morali ya juu sana wakiongozwa na Kocha Prof. Nabi.

20221015_024226.jpg
20221015_024152.jpg


Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Uwakaji(uwashwaji?)wa huo mshumaa ni kizunguzungu!Mosi,umewashwa sehemu mbili.Pili,unaendelea kutoa mwanga na joto kwa kuzunguka(kuzungushwa?).Tatu,yaonekana unajipooza kwa kuzunguka ili usiishe haraka kwa mwendo wa hiyari ishinde utumwa.😂😂😂😂
 
Uwakaji(uwashwaji?)wa huo mshumaa ni kizunguzungu!Mosi,umewashwa sehemu mbili.Pili,unaendelea kutoa mwanga na joto kwa kuzunguka(kuzungushwa?).Tatu,yaonekana unajipooza kwa kuzunguka ili usiishe haraka kwa mwendo wa hiyari ishinde utumwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu atakula si chini ya viwili[emoji1787]
 
Back
Top Bottom