Kila la heri Young Sports Club huko Sudan

Chama langu al hilal kila la heri, mwarabu mweusi anamtoa mtu champions league, anadondokea confederations anapangiwa na mwarabu mweupe berkane, au al masry au pyramids...
Kisha wanarudi kwenye ruti za ndani za kwenye yutong morogoro road...
 
Kuepusha hisia za rohombaya nachukua nafasi hii kumtakia mtani wangu ushindi ..Akishinda Yanga ni sifa kwetu sote kama Taifa
Yanga wapigwe tu, maana walitutakiaga mabaya akiwemo hata rais wao wa sasa...
mie nasema eeh Mola wapukutishe kabisa hawa yanga hapo kesho na wapewe kisago murua kabisa... Mungu bariki sana chama langu la mkopo Al Hilal...
 
‏🔷 | القطاع الطبي لنادي الهلال بقيادة المهندس طبي/ فيصل البرير، يلتقي بالمهندس/ محمد إبراهيم العليقي نائب الرئيس ورئيس القطاع الرياضي، والسيد/ عبد المهيمن الأمين مدير دائرة الكرة، والدكتور/ عوض العجلي رئيس الوحدة الطبية، وعدد من عناصر الفريق الأول🔵⚪
 
Hawa wakishinda kelele nyingi sana hawa wapigwe na wachakae kabisa na wazee wa halua halua wameshajiandaaa kabisa kumla mtu
Hadi rais wao aliwasapoti baadhi ya wachezaji wa berkane ili watufunge, kana kwamba haitoshi, tunakatibia kucheza na kaiser chiefs akawa anavaa jezi ya kaiser chiefs... mzungu wao wakati tunakatibia kucheza na orlando pirates akawa anavaa jezibya orlando porates, wakati tunacheza na timu fulani, mzungu wao akadai huwa tunawapulizia dawa na kuweka vitu vibaya ktk maji yao kunywa na ac za vyumba vya mapumziko....
Hawa sio wa kuwatakia heri hata kidogo... ni wachawi wanatakiwa wachomwe moto!!!
 
wakagongwe tu hakuna cha kusema uzalendo mpira wa bongo unafki unafki tu na wakapigwe nyingi sana ss tuko pale airport tunawasubir mrudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukwei ni kwamba wa Sudan wana watamani sana Yanga ili.wawaonyeshe Africa kwamba na wao wana jua ila mie nasema ivi yangu macho tu
 
Umeongea kwa hisia sana hasa hapo uliposema الرياضي
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…