inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mara dk 30 yanga Katia mbili,mnaanza kuwakochi waarab mkiwa mbele ya TV tz,we bwege piga paleSiwezi kuiombea mazuri Yanga, nisiwe mnaa! Akafungwe moyo wangu ufurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara dk 30 yanga Katia mbili,mnaanza kuwakochi waarab mkiwa mbele ya TV tz,we bwege piga paleSiwezi kuiombea mazuri Yanga, nisiwe mnaa! Akafungwe moyo wangu ufurahi
Alishindwa kutia 2 kwa Mkapa,ataweza kwa mwarabu mwenye msuli?Mara dk 30 yanga Katia mbili,mnaanza kuwakochi waarab mkiwa mbele ya TV tz,we bwege piga pale
Msuli ndiyo mzuri,sababu hauvaliwi chupi ndani,unambinua,unapaka mate,unapiga mbili chapuAlishindwa kutia 2 kwa Mkapa,ataweza kwa mwarabu mwenye msuli?
Wanajua hii ndio safari pekee nje ya nchi watakayofanya msimu huu. Lazima wawe na morali ya kusafiri.Jamaa ndio wamenyanyuka wakiwa na bashasha na kujiamini at par. Wachezaji na Viongozi wako na morali ya juu sana wakiongozwa na kocha prof nabi
View attachment 2387521View attachment 2387522
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Yanga wapigwe tu, maana walitutakiaga mabaya akiwemo hata rais wao wa sasa...Kuepusha hisia za rohombaya nachukua nafasi hii kumtakia mtani wangu ushindi ..Akishinda Yanga ni sifa kwetu sote kama Taifa
Hadi rais wao aliwasapoti baadhi ya wachezaji wa berkane ili watufunge, kana kwamba haitoshi, tunakatibia kucheza na kaiser chiefs akawa anavaa jezi ya kaiser chiefs... mzungu wao wakati tunakatibia kucheza na orlando pirates akawa anavaa jezibya orlando porates, wakati tunacheza na timu fulani, mzungu wao akadai huwa tunawapulizia dawa na kuweka vitu vibaya ktk maji yao kunywa na ac za vyumba vya mapumziko....Hawa wakishinda kelele nyingi sana hawa wapigwe na wachakae kabisa na wazee wa halua halua wameshajiandaaa kabisa kumla mtu
Bora ww umekua km mm siwezi kua mnafiki mm maombi yangu wapigwe hata tano bila ...maana hawa ndo walikua mabingwa wa kupokea adui zetu pale uwanja wa ndege.Siwezi kuiombea mazuri Yanga, nisiwe mnaa! Akafungwe moyo wangu ufurahi
Hapo sasa anabinuliwa UtopoloMsuli ndiyo mzuri,sababu hauvaliwi chupi ndani,unambinua,unapaka mate,unapiga mbili chapu
Haji alisema Mungu ana kazi nyingi, anahitaji kuponya watu sio kuhangaika na UtopoloMungu ibariki timu ya Wananchi
Umeongea kwa hisia sana hasa hapo uliposema الرياضي🔷 | القطاع الطبي لنادي الهلال بقيادة المهندس طبي/ فيصل البرير، يلتقي بالمهندس/ محمد إبراهيم العليقي نائب الرئيس ورئيس القطاع الرياضي، والسيد/ عبد المهيمن الأمين مدير دائرة الكرة، والدكتور/ عوض العجلي رئيس الوحدة الطبية، وعدد من عناصر الفريق الأول🔵⚪
Ni huzuni sana kama Watanzania tutaaibika sanaUmeongea kwa hisia sana hasa hapo uliposema الرياضي
Taifa gani? La congo ama tz?Kuepusha hisia za rohombaya nachukua nafasi hii kumtakia mtani wangu ushindi ..Akishinda Yanga ni sifa kwetu sote kama Taifa